Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,654
- 171,756
Aisee✌️
Sio utani lile shepu la twiga unachukua umiss kabisa[emoji23]
😂😂😂😂Huku wengi wakiambiwa njoo juu wanasema hawawez.Nipo lindo huku nikitazama wanenguaji
Haya umeshinda✌️Weka wazi tu mama, usiwe na Shaka😘😘😘
Sawa nakubali ushindi😁😁Haya umeshinda✌️
Ndo maana hulali, utalalaje na moshi kichwani?😆
Watoto wa kotaz. Hiyo uhakika nyumbani baba General, mama Afisa elimu, walinzi wote masoja. Lugha ya Malikia lazima uongee tusameja nikufahamishe mimi hata nikilala naota ndoto kwa kimalkia
Aisee[emoji3577]
🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏿 aiseeNdo maana hulali, utalalaje na moshi kichwani?😆
Yeah kila mtu na kipande chake cutekaribu mahiii[emoji847]
Ndo maana hulali, utalalaje na moshi kichwani?[emoji38]
huku kunaitwa kunichalaziaWatoto wa kotaz. Hiyo uhakika nyumbani baba General, mama Afisa elimu, walinzi wote masoja. Lugha ya Malikia lazima uongee tu
Wanaogopa msumari, wanasema unachoma😂😂😂😂Huku wengi wakiambiwa njoo juu wanasema hawawez.
Si tumezeeka sie
Sema ni dawa nzuri hainaga hangoversi ulinambia niachane na mapenz nirud kuwa msela[emoji23] ndo nimerud hivyo
Ety hui msumari wako unancha kali sana, kumbe anakuzuga tu hata kungwi hanaWanaogopa msumari, wanasema unachoma
Sema ni dawa nzuri hainaga hangover
We Kaka wewe afu ulichoniandikia kule kwenye siasa sijapenda kiukweli...unachokitaka utakipata2307
Jamani nifanyeje kwikwi tangu saa tano asubuhi inanisumbua.Au nimelogwa?