Hivi member wa nyuzi nyingine wakituonaga wazee wa Night Vision itakua tunaonekana loosers kinoma.
Saiv anatuangalia. So Intelligent businessman atakuwa hapa tena. Ila kuna id imetembea na member weng ikishow upendo nahisi anaweza kuwa yeyeNajua bro Intelligent Businessman unasoma huu uzi. Pole kwa Ban. Najua Mod aliekupiga ni issue personal. Pamoja sana. Lindo lipo salama bro.
Bila kuvunja sheria, uwongo?ni jukwaa huru kikubwa kila mtu afany kinachompa furaha
Atakua ana ID mbili yule lazima. Kumpa ban mtu poa yule dah.Saiv anatuangalia. So Intelligent businessman atakuwa hapa tena
π€£ππππ Dahwe ni mpinzani wetu
HahahahahaOya nimepita hapo sio muda dah. Maisha aya. Nimeamua kuondoka ile kuongozana nae ananileta huku upande wa riverside hall kwenye uchochoro flani katangulia mi nikaamsha atakua anafika anageuka hamna mtu. Starehe ya dk 5 isinitoe mchezoni aisee.
π€£πππππAtakua ana ID mbili yule lazima. Kumpa ban mtu poa yule dah.
Bila kuvunja sheria, uwongo?
Unajua ana wiki sahivi. Isijekua kala lifeban? Ban nyingi jukwaa la Siasa. Ukijimix kule haukosi. Unamtukana Platinum member?π€£πππππ
ππ€£πππ. Alinitukania mama yangu yule jamaaUnajua ana wiki sahivi. Isijekua kala lifeban? Ban nyingi jukwaa la Siasa. Ukijimix kule haukosi. Unamtukana Platinum member?
ilazo makao makuu, mkuu wangu but i appreciate it.Niko hapa zambezi ubungo ..karibu
Msamehe yule jamaa ni mtu poa. Hafu ana madini sometimes sema ugumu wa maisha tu. Sometimes zinamruka.ππ€£πππ. Alinitukania mama yangu yule jamaa
ππππHata wanΓ otuloga.
Wanasema hawaamini ushirikina..
ππππ
Mkuu ule uzi wa like unaujuaaaa?Hivi member wa nyuzi nyingine wakituonaga wazee wa Night Vision itakua tunaonekana loosers kinoma.
mahi buroo anaomba kuona ufigure portablemr likes ni buroooo mahi wangu
Hahahahahhaaa hawakuufuta mods? Sijauona kitamboMkuu ule uzi wa like unaujuaaaa?
Comment chochote ule like.
Dah ule uzi nao n mtam haha haaaaa
KUna nyuzi ukikaa huko lazma uwe mtu flan
Mkuu hiv wao hawana kwaresma wala ramadhani?Oya nimepita hapo sio muda dah. Maisha aya. Nimeamua kuondoka ile kuongozana nae ananileta huku upande wa riverside hall kwenye uchochoro flani katangulia mi nikaamsha atakua anafika anageuka hamna mtu. Starehe ya dk 5 isinitoe mchezoni aisee.
sisi walinzi hatuna jambo tunapenda kazi yetuHivi member wa nyuzi nyingine wakituonaga wazee wa Night Vision itakua tunaonekana loosers kinoma.
Khaa hivi kuna kuchat kule au wee una comment na kutokomea πππMkuu ule uzi wa like unaujuaaaa?
Comment chochote ule like.
Dah ule uzi nao n mtam haha haaaaa
KUna nyuzi ukikaa huko lazma uwe mtu flan