Kumbe Kuna kuoga?na KUKOGA?π€£π€£π€£π€£π€£π€£...Vincenzo Jr tutake radhi mdogo wetu, unavyotuchanganyia kuoga na kukoga πππππππ€£π€£π€£π€£π umesimamama na kindoo chako umekaza misuli unasema unaoga ππ€£π€£π€£π€£π
Na maji yenyewe huku kigamboni ya shida ni balaaa sana hapa ππ€£π€£π mwezi ujao dawasa siwapi pesa yangu Bora nikaoge baharinina sabuni yako ya kipande na kopo la maji la kubeba mkononi unasema unaoga? hapo unakoga tu huogi Vinππππ
Famchezo na kulala wewe?Huku Tz ni mwendo wa kujiegesha tuπ€£π€£Dah ππ€£π
ππππππ ndiwoo wengi tunakoga, wateule wachche ndiyo wanaoga πππππ€£π€£π€£Kumbe Kuna kuoga?na KUKOGA?π€£π€£π€£π€£π€£π€£...
ππ€£ππ€£πFamchezo na kulala wewe?Huku Tz ni mwendo wa kujiegesha tuπ€£π€£
Naunga mkono hoja π€£πππππππ ndiwoo wengi tunakoga, wateule wachche ndiyo wanaoga πππππ€£π€£π€£
Hakika,waogaji ni wachache mno,Mtu anaoga masaa matatu kajiloweeka wee na shower gel na maji ya uvuguvugu pembeni ana wine,kawasha mishumaa ya kunukia halafu anasikiliza blues,Wakogaji Sasa na makopo yetu,kipande Cha jamaa mixer doffi ,unaanza tu kopo la kwanza Mende huyo kapanda mguuni,unaruka unaparamia tumaji twenyewe twa chumvi halafu nusu ndio tunamwagika tunabaki robo ndoo,hapo ni chap chap dakika mbili na sekunde 47 uko nje umeSHAKOGAπππππππ ndiwoo wengi tunakoga, wateule wachche ndiyo wanaoga πππππ€£π€£π€£
Tuko break,hata taarifa ya habari Ina matangazoNyie mtakuwa mmetelekezwa na wapenzi wenu; haiwezekani ubavu wa kushoto uwepo karibu alafu wewe uwe lindo!
Nilikimbilia kidogo Senegal, kujua background ya uongozi mpya (Faye vs Sonko); hakuna kitu rahisi, lazima upitie kashi kashi i.e gerezani ndio mambo yakae sawa.Tuko break,hata taarifa ya habari Ina matangazo