Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Sina mpenzi mimiπ π π ukitaka ishi kwa raha humu Jf usiwe na mpenzi.. ila kama una mpenzi jua kuna mtu unachart nae, anakuchekea ana like comment zako.. na ndio anakugombea manzi wako π π π π au nasema uwongo my love To yeye na shemeji yangu Intelligent businessman
AmuaIla kusema kweli hta mimi ningekuwa na hela za mchezo nisingekubali kupitwa
Kwani wanao pita nao, wote Wana hela banaππ€£π€£Ila kusema kweli hta mimi ningekuwa na hela za mchezo nisingekubali kupitwa
hili ni jumba la usanii na usaliti kwa wapenzi π πNoma sana
na Dahan kakuacha au π€£π€£Sina mpenzi mimi
Inataka moyo na mshahara wa mawazoAmua
Mi ni C-section bhana ipo vilevileππEti yako Ina curve shapeπππππ
Inaweza isiwe hvyo kwa wote ila unafikiri hivi viilio mwanzo wake nini ni kuzidiana tu ukwasiKwani wanao pita nao, wote Wana hela banaππ€£π€£
π€£π€£π€£π€£Ni noumaaaKwahiyo hizi busara na hekima humu ndani jumlisha majigambo ni silaha za watu kufanyia maangamizi
π€£π€£πYelewiiiππ€£π€£ππππ, can't wait mamsapuπ€
Ahahha kama mshahara wa mwazo chota 50k ukakojoe sehemu saf utojutia af upake kitu cha suni kwenye mti nyama manzi atakuwa anakupa bure kabisa mwisho wa shooInataka moyo na mshahara wa mawazo
Kaniiachana Dahan kakuacha au π€£π€£
Na kwanini utafute ukwasi, kwa ajili ya mademππ€£π€£π€£π€£Inaweza isiwe hvyo kwa wote ila unafikiri hivi viilio mwanzo wake nini ni kuzidiana tu ukwasi
Kijanaaa una tabu Sana, utajiri tuta usikia Kwenye pipaππ€£π€£.Ahahha kama mshahara wa mwazo chota 50k ukakojoe sehemu saf utojutia af upake kitu cha suni kwenye mti nyama manzi atakuwa anakupa bure kabisa mwisho wa shoo
SI unge paka sunπ€£ππͺπͺKaniiacha
I just wanna hit and lick itππ€£π€£Mi ni C-section bhana ipo vilevileππ
Ndio hapo sasa! Ila elewa neno ukwasi wa kuchezeaNa kwanini utafute ukwasi, kwa ajili ya mademππ€£π€£π€£π€£
Woiiiiππ€£π€£hili ni jumba la usanii na usaliti kwa wapenzi π π
Bro sinaga ukwasi was kuchezea, au uliokosa kazi. Never everNdio hapo sasa! Ila elewa neno ukwasi wa kuchezea
Suni ndio kitu gani mkuuAhahha kama mshahara wa mwazo chota 50k ukakojoe sehemu saf utojutia af upake kitu cha suni kwenye mti nyama manzi atakuwa anakupa bure kabisa mwisho wa shoo