Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,338
- 101,067
Hapa wapi ? Nami niko masaki ,bongoyo road /Streetanzia hapa dumbukia, ingawa hapo nimetoka naeleka masaki
ndio kagomaaa sasa π π ππ π aje atueleze namna ya kuwa tajiri nasisi tusome comments tu
kama atanigomea hadi mimi basi itakuwa n kweli kawa tajirindio kagomaaa sasa π π π
tusubiri huruma zake
pazaaaa sautiii mala nyingiii labda ataitikaaa π π π π πkama atanigomea hadi mimi basi itakuwa n kweli kawa tajiri
dumbukia uswazi huko sinza mkuuHapa wapi ? Nami niko masaki ,bongoyo road /Street
tajiri Dahan unaitwa hukupazaaaa sautiii mala nyingiii labda ataitikaaa π π π π π
Oooohdumbukia uswazi huko sinza mkuu
huenda yupo na matajiri wenzake huko Ibizaaa π π πtajiri Dahan unaitwa huku
mwalimu wa maths kazi anayo mpaka kafika ibiza πhuenda yupo na matajiri wenzake huko Ibizaaa π π π
π π π ataangusha mapicha kibao hapa yupo na ma superstar wenzake majuu hukoomwalimu wa maths kazi anayo mpaka kafika ibiza π
wanaigawa kama hawana akili nzuri,waache wafunge miaka 40 ikifika waanze kutusumbua
hii imeenda sio mwenetu tena ategemei likesπ π π ataangusha mapicha kibao hapa yupo na ma superstar wenzake majuu hukoo
acha wazifunge tu ipo sikuwanaigawa kama hawana akili nzuri,
π π π ana chart sasa hivi na kina Niki Minaj tu.. nyie mnamletea shombo tuuhii imeenda sio mwenetu tena ategemei likes
'ipo siku utaniona mlangoni kwako'acha wazifunge tu ipo siku