Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
HapanaWewe nitakie usiku mwema[emoji23]
AlooNilisahau kununua dawa jioni hii. Na SASA maduka wamefunga na kutoka usiku nje jau sana kuna vibaka wahuni
I'm nervous๐ฌ๐๐๐Maama G on the beat.. Oky oky enjoy ๐๐๐๐
Nimepewa tenda usiku usikuHapana
Tuambiane kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]
Weka neti๐Nilisahau kununua dawa jioni hii. Na SASA maduka wamefunga na kutoka usiku nje jau sana kuna vibaka wahuni
Nyumba za kupanga neti utaifungiwa wapi mkuu ukisema ukutani si utagombana na mwenye nyumbaWeka neti[emoji41]
Wanakera sana mkuuAloo
Kwangu kero namba moja ni mbu aaah
Karibu lindoniDuh mpo
We mkuu kacheze master league๐คฃ๐Hapana
Tuambiane kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]
Umehamia hukuNimepewa tenda usiku usiku
Mimi ni contractor๐
Ahhah asante mkuu leo nipoKaribu lindoni
Tulikuwa tuna watania tu๐๐คฃUmehamia huku
Baada ya kumsumbua Cute Wife kule selfika๐
Haahahh pole sana kama huwezi kujiongeza hata kwaajili yako mwenyewe.. ๐๐๐๐, neti huna, dawa ya mbu huna, fan??? ๐ ๐ DuhNyumba za kupanga neti utaifungiwa wapi mkuu ukisema ukutani si utagombana na mwenye nyumba
Upo wapi๐ค, wakati we waga ni msaliti๐คฃ๐๐Ahhah asante mkuu leo nipo
Ngoja nimuite aliendeleze hapaTulikuwa tuna watania tu๐๐คฃ
Usicheke ndio nayaanza maisha ya kujitegemea mkuu kidogo kidogo hali itakuwa Sawa[emoji23][emoji23][emoji23]Haahahh pole sana kama huwezi kujiongeza hata kwaajili yako mwenyewe.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], neti huna, dawa ya mbu huna, fan??? [emoji23] [emoji23] Duh