JamiiForums Usiku wa manane

Ya 10 ndio rahisi, unaongezea sifuri tu. Primary ilikuwa tukiambiwa tusome table, hiyo ndio ilikuwa yangu. Sasa ole wake atokee mtu kuiwahi, atanikoma muda wa kutoka πŸ˜…πŸ˜…
Mie yangu ilikua ya 2 maana najumlisha 2 tuu.. Ika kweli ya 10 ndo easy adiing 0 ni sawa na hufanyi kaz yyteπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mie yangu ilikua ya 2 maana najumlisha 2 tuu.. Ika kweli ya 10 ndo easy adiing 0 ni sawa na hufanyi kaz yyteπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na kwambia darasa zima walikuwa wanajua table ya 10 ni ya nani. Labda nisiwepo shule. Ila nikiwepo, wote walikuwa wananiachia mm, hata Mwalim akiwalazimisha πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…