Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,712
Ww unachimba viazi sasaiv au?Amkeni amkeni mnalala mna raha gani? Mmemfikia Mo au Bakhresa haya hakuna kulala, amkeni mchangamshe bongo zenu.
Amkeni hata mpige kelele vitandani mwenu...
Imenibidi nioge asee mama glory amenisimamia kidete 😒😒Nipoo mdogo angu.. Umeoga lakin?
Vifaranga vimegomaa kabisaa leo hali ni tete😂😂😂
Mbona una fujo[emoji28]Amkeni amkeni mnalala mna raha gani? Mmemfikia Mo au Bakhresa haya hakuna kulala, amkeni mchangamshe bongo zenu.
Amkeni hata mpige kelele vitandani mwenu...
Nasali saa 8 hii.Ww unachimba viazi sasaiv au?
Una sali nini?Nasali saa 8 hii.
Leaving a legacy out of a hobby unyama sana02:09 now I be leaving a legacy outa a hobby
[emoji117]I never chased the dream, I design it
[emoji117]big crib, you hear the echo in the lobby
[emoji117]boy, I was broke as hell, when they found me
Wee acha tu, kuna maisha unachagua inabidi Sifa na Utukufu uvirudishe kwa Muumba wa vyote.Una sali nini?
Hamna kitu humo[emoji28][emoji28]Vocha izo voda
Wee acha tu, kuna maisha unachagua inabidi Sifa na Utukufu uvirudishe kwa Muumba wa vyote.
Hamna kitu humo[emoji28][emoji28]
Vocha izo voda
Tajiri Mwachi kawapeni vocha leo, mwenye uhitaji wa vocha achukue hapo
Nina muda mrefu sana sifanyi mchezo mbaya. So sina cha MG wala cha nini. Nipo mimi na Mungu wangu tu.[emoji23][emoji23][emoji23] af saa kumi na moja unaaz na morng groly siyo
Hongeraaa👏👏👏Nina muda mrefu sana sifanyi mchezo mbaya. So sina cha MG wala cha nini. Nipo mimi na Mungu wangu tu.
Nina muda mrefu sana sifanyi mchezo mbaya. So sina cha MG wala cha nini. Nipo mimi na Mungu wangu tu.
Asante b_boyHongeraaa👏👏👏