Leo nimeshtuka nimedondosha simu hakika nalala vibaya sana...siwez kulala straightUsiku wa jana umeniangusha mrembo wangu. Lindo uliliacha wazi kabisa, nisingefanya patrol na kugundua hilo, Leo ungeigiza kama jana ulikuwepo zamuππ
You were missedπΉπ
Midenda juuLeo nimeshtuka nimedondosha simu hakika nalala vibaya sana...siwez kulala straight
Acha uchafu!π
π€£π€£π€£ Niache bhanaπ
Organic chemistry sioView attachment 2511072View attachment 2511072yaan nichemical zimejaa kichwan
Sema haya madude yalinigonga sana A level uzuri nilitoka clean ila nilihemea sana daaah those days are long goneView attachment 2511072View attachment 2511072yaan nichemical zimejaa kichwan
Muda sahihi wa morning Glory, tchaoo05:30
Kumekucha,acha uvivu0602
thamaniii hadi tumechelewa job na ka mvua kaleee haaa.. nilipiga mahesabu vizuri sana.. vya saa tisa na kumi alfajiri vitamu, miili inakuwa imetulia vizuri no stress wala picha pichaPole Ankol amesema atakupea saa 9? ππππππ