JamiiForums Usiku wa manane

Hebu fanya kuimba.... Naisikiliza hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha

Ooh beibiii ukinigusa nyan'ganyan'ga mwenzako sijiweziii🎶
Mimi kipofu napapasa juu yakoo..nahisi hakuna amani nisipokuona nyumbani🎶
Moyo unajawa tafuraniii..kwichikwichi chumbaniii haziishi kichwani🎶🎶
Hasa pale ukiwa mbali namii🎶
Chochea kuni kwa kishindo jiko lako ni Mimi🎶
Unipe joto joto penzi kwenye baridiii🎶🎶
Nitan'gan'gana nawe nitabaki nawe sitokuacha mpwekeee🎶
Shika nishikilie usiniache Mimi chunga wasinitekee🎶

Honey Mimi kwako Nazi mbataaa..🎶🎶
Nitafune unavyotaka🎶
Kiuno sindimba chakachaa🎶
Serebuka unavyotaka🎶

Nioneshe niweke tepetepe🎶🎶🎼
 



Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha weeehh..na viharufu fulani hivi vya marashi nini
Hapo wote mnanukia manukatooo kwa mbaliiiiiiii perfume za kwapa na mmevaa vitu night dress [emoji156] lainiiiii lainiiii huku upande wapili boxer tu full mvutanooo tu unakula na pingu kabisa ili usifurukutee inapozamaaa pangoniiii[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…