JamiiForums Usiku wa manane

Haina mbaya. Ukikosa kazi mimi nitakupa kazi tu kwani jf inakula mb kiasi gani !!..
Hata hivyo nataka niangushe hapa maana jana sikulala fresh maana niliota ndoto mbaya sanaaaa
Kwahiyo ukilala mapema hutoota tena ndoto mbaya? Pole sana mzee unaweza kimbia chumba hizo mambo zikianza ni hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…