Meditation kwangu ilidunda. Bro, kuna demu ametoka Botswana alikuja tukawa tunasoma nae hapo UD, Feb hii 2019, sasa kumbe alikotoka alikua anafanya Meditation yupo sijui stage ya ngapi, akaniambia kuhusu mimi, akaomba nimsindikize kule Mikocheni kuna Wachina wana Meditation (TZ Meditation) duh mi uchu wangu kwakua namtamani nikasema twende. Kufika wakanishawishi na mimi nika register. Aisee ile kitu siwezi. Yaani haielezeki. Eti naangalia kitu kimoja naanza kukumbuka matukio yote im chronological order kutokea nikiwa katoto primary secondary chuo hadi sahivi. Hahahaha. Nililipa ila nilienda twice nikasema hapana. Kama demu wa Kibotswana nikose tu.Unaweza fanya meditation ya kutafuta usingizi pia
Hahahaaa pole sana.. mimi nilikua nafanya mida ya jioni. Nimeacha kama mwezi wa 4 mwaka huu. Yahitaji moyo kukaa na ku concentrate kitu kimoja..
Kilichonifanya niache nina shida jwa uti wa mgongo so nikapotezea
Haha.. eti hela ya kula.
Ukiwa unataka kulala fumba macho halafu akili na fikra zako zote zipeleke katika kulala.. hukawii faster tu ushapotea duniani
Nipo na pensi, juu vest na chini nimevaa malapaHujaja na neti
Hebu urudi ukalale, huku sio kwa watoto😀
Hebu urudi ukalale, huku sio kwa watoto[emoji3]
Tupo, karibu lindoni
Ujue ishafika kesho iyo. I can’t wait huu uzi usiku wa Mwaka Mpya dah.0206
Leo hadi nifunge lindo kwa mijibu wa sheria😄😄
Joto kali sanaMlinzi gani unakuja lindo na costume hii
Aje tukae upande huu kuna kaupepo mwananaChukua kanga kwa mamaD ujipepee
Nipe mda ntakutumia mkuuNaipenda pia hii.. hebu nitajie zingine unazozijua zake
Lala unonoGood night fellas
Thanks pal [emoji109]Almighty akulinde kiongozi
Akupe zawadi nzuri iitwayo Kesho/asubuhi
Thanks ladyLala unono