Aliachwa kwakua ratiba yake ilikua too tight.. kipindi inashoot fallout ndio ilikua inashoot pia Avanger Endgame. So akaona Avanger kuna masrahi..Aka deny MI.So far kwenye series wote hawapo, Kuna mabaharia wengine wanakiwasha hatari
Renner sijiu kwanini walimuacha kwenye fallout/IM
[emoji791]2:01am
Na kwakoMda huu 01:58
Ndo naenda lala alamski wakuu
Ahsante sanaAisee pole upweke mbaya sana.
Kafanyeje tena?Dah kuna jirani hapa anazingua balaa
Anajenga ndoa kwa fujo kweli, nadhani hili tofali ni jipyaKafanyeje tena?
Karibu.Ahsante sana
Hahaha pole huna earphone?Anajenga ndoa kwa fujo kweli, nadhani hili tofali ni jipya
Nefungulia Radio Upendo FM nasikiliza maombiHahaha pole huna earphone?
Usisikie chochote usije ukashindwa kulinda bure.
[emoji1666]inavyoonekena tuHatari wimbo naulewa sana.
Kuna mtu alinitumia kipindi hicho kuanzia siku ile ukawa wimbo wa kipekee sana
Bora vishawishi vikimbie shetani shindwaNefungulia Radio Upendo FM nasikiliza maombi
Ni nzuri zote[emoji1666]inavyoonekena tu
ABBA album hiyo ina nyimbo nzuri sana, Mama Mia, Knowing U, Dancing Queen
Alafu na zote ni tamu sana kusikiliza kipindi hiki cha Xmas season/December yote
AmenBora vishawishi vikimbie shetani shindwa
Hahaha upo macho0400hrs.
Hahaha upo macho