Kila nikija kazini nakuwa peke yangu ningezuiaje kutekwaKhantwe
Sakayo
Behaviur
Toxic:
Mnanisikitisha sana mnatekwa kirahisi hivi,lindo letu halipo huku huyu jamaa ni mtekaji nyara: Huku mshatekwa rudini lindoni haraka kule hakuna mtu. Angalieni Heading ya huu uzi mtagundua password yetu kule.
[emoji23]14th Aug, 2019, 0209hrs.
Puppy Was Here.
Kitabu cha lindo kiko wapi?
kazi ngumu hii,,mwezi wa 2 hatujalipwa mshahara mgomo unaendelea......Walinzi mmetekwa au umejiteka.
Tumetekana!Walinzi mmetekwa au umejiteka.
Halafu kweli hivi huyu boss wetu anatuchukuliaje lakini, yaani miezi 2 bila mishahara anategemea sisi tuishije?kazi ngumu hii,,mwezi wa 2 hatujalipwa mshahara mgomo unaendelea......
ndo hapo sasa,,itakuwa ametumbuliwa kimyakimya.....Halafu kweli hivi huyu boss wetu anatuchukuliaje lakini, yaani miezi 2 bila mishahara anategemea sisi tuishije?
Vya bure vinagharimu kaka, take care!niko hapa nasubiri malaya wa offa, hua wakichoka wanatoa offa kwa buku tano hadi asubuhi