Aisee hapa nna aka 47 JF Ipo salama nipo makini hata usingizi hakunaWalinzi usingizi ni anasa lindeni kwa mujibu wa kanuni za lindozz..
Tupo macho mkuu!Walinzi wamesinzia[emoji848]
Hahahahaa! Mkuu humu mimi sijapita kitambo sana,huenda wanatimiza majukumu mengine.😀😀
Nipo kamanda