Ndio...wewe Kwa Mfuga Mbwa unakusikia tu....sisi wenyeji tuachie mitaa yetuKunikubali Vipi? Kwamba sija mbwa? Hahaha nitamla tu siku moja sina haraka nae ,hkn wakunizuia[emoji23]
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Hahaha, haya banaNdio...wewe Kwa Mfuga Mbwa unakusikia tu....sisi wenyeji tuachie mitaa yetu
Njoo nyumbani nitakupikia....hayo yakuulizia naogopa kusema...
Nami naogopa kuja kwako,Big Baby asije nitoa rohoNjoo nyumbani nitakupikia....hayo yakuulizia naogopa kusema...
Kwani unakuja kwa Nia mbaya?Nami naogopa kuja kwako,Big Baby asije nitoa roho
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Hahaha, mmmh ,maswali yakua mengi ht km siji kwa ubaya, ahsante nitakaribia kesho jpili mchana, kuja kula mbwaKwani unakuja kwa Nia mbaya?
Mbona atafurahi naleta wageni nyumbani...tunashiriki pamoja....
Ukiwa kutika huko saa nne asbh...kwenye saa Tisa utakuwa mjini....Hahaha, mmmh ,maswali yakua mengi ht km siji kwa ubaya, ahsante nitakaribia kesho jpili mchana, kuja kula mbwa
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Basi Mimi.jirani yako kabisaaaNiko manzese kwa mfuga mbwa wewe uko wapi ,nianze kutafuta nauli kabisa
[emoji767]101-03-821.M|T|C
03:10 AM
Hahaha, hebu lala huko,wenzio hatunaga usingizi, wala MTU wa kutubembeleza ,hapa asubuhi Church ,kisha viti virefuBasi Mimi.jirani yako kabisaaa
Asante, uwe na mapumziko mema...Nilijua tu,halafu muda huu wa second half kuelekea alfajiri ( cha asubuhi ) ...utani tu
Haya binti bbade ulale unono, msalimie Big Baby ,kesho nakuja kula umbwa
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Usijari niko full MimiAsante, uwe na mapumziko mema...
Usisahau kuja na chachandu yako.