JamiiForums ukihitaji POVU, fanya haya..

Daby

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
33,651
75,839
1. Waseme vibaya single mothers:: hili povu utafulia chupi..vitambaa vya meza.. blanket kwa wale wanaoishi sehemu za baridi..mapazia ya vyumba vyote.. na hata la kusafishia vyoo litabaki na la nguo zingine pia. Na wanaenda mbali kwa wale wakongwe wanalog off halafu wanakuja na I'D zingine za hiyo kazi ya kuzalisha povu .


2. Ita wanaume wavulana au wanaume suruali: HAHAhaha hapa ndipo pale jamaa zangu wengi wanachukulia Ban nyingi kwa Cookie na Paw na hapa kila mwanaume anakuwa na pesa na maisha mazuri gafla. Wajanjaaa balaa.

3. Sema wanawake wananuka UCHI...hapa ndipo pale wanawake wote bila kujali maumbona umri huungana na kuwa kitu kimoja gafla sio wa MMU siasa wala wa jukwaa la wakubwa. kwa wale wajanjaa kama mimi tukishaona hali hii hata pm zao kwa siku hiyo hatuingii maana hautajibiwa, na ukijibiwa basi tusi.

4. Diss vibamia au sema wanaume wananuka pumbu..hahaha . hapa wanaume huwa na visingizio kibao.. mara ooh mara Mwanaume hasifiwi usafi anasifiwa kazi. Mara utaskia mimi nina nchi 7 kumbe ana 2.5.. sasa sijui mwenye kibamia nani...

Huwa mnaguswa wapi aseeeh? ?? Karibuni ukihisi kumwaga povu uje ulimwage humu ndani
 
Back
Top Bottom