JamiiForums thanks

JamiiForums thanks

Mkuu miongoni mwa watu wenye akili na wewe umo, atakaesema umefanya makosa kuondoka na yeye ni akili zake.

Mwanaume unatakiwa kuwa mvumilivu lakini pia kuna uvumilivu wa kijinga.

Kwa maelezo yako hukuondoka nyumbani kwa kukwepa majukumu la ila kwa kuinusulu ndoa na familia yako pia kupuka manyanyaso ya akili na roho.

Kwa nionavyo mimi ulifanya jambo la busara kwani usingeondoka ambalo lilikuwa linajili ni kutengana na kugawana mali yenu hali ambayo ingewaweka watoto katika mazingira magumu sana.

Ushauri wangu ni kwamba endelea kuwasiliana na mkeo wasalimie watoto kila siku hata ikibidi wadanganye unafanya kazi na ukipata chochote wakumbuke uwatumie zawadi na mahitajio mengine.

Ila wakati huo ukiwa unatafuta kazi popote pale, mungu hamtupi mja wake utapata iwe arusha au hata huko Dar, baada ya kupata kazi rudi nyumbani.


nathani wewe umenielewa vizuri sana ...couz kuna watu wananishambulia hapa kua nmekwepa majukum ..sjakwepa majukum mimi nmeepusha shari maana ningekomaa pale home na wakati huo sina kitu yangeweza tokea makubwa thanks men
 
sometimes tunaishi nje ya malengo tuliyojiwekea
 
komaa upate kazi la si hivyo mambo yatazidi kuwa mabaya yaani mie ni ke lakini huwa hata zege naweza kubeba naogopa sana ujobless kwakiwa sijaumbwa kutegemea mtu yeyote naogopa kuomba kwa mwanaume........naogopa manyanyaso uwii


ok safi sana hata mimi sio mtu wa kuchagua kazi ...sema sasa hapa dar bado mgeni mgeni kuzpata hata hzo za nguvu ni mtihani
 
ok safi sana hata mimi sio mtu wa kuchagua kazi ...sema sasa hapa dar bado mgeni mgeni kuzpata hata hzo za nguvu ni mtihani
sawa mungu akutangulie na usichague kazi mpaka ukipata unayotaka ... jishkize itayopatikana ilmradi iwe halali mkuu
 
Hahhaaa poapoa man!

Pale mwanamke unapojua kazi yake kwa mda mrefu, halafu siku anakwambia hivi wewe una akili? We unakula tu unajua hizi lesa nazipata wapi na nazipataje??

Inauma sana lkn no way!

ebu ona sasa ndio huna kazi then wife anakuambia hvyo unatamani hata kufa
 
sawa mungu akutangulie na usichague kazi mpaka ukipata unayotaka ... jishkize itayopatikana ilmradi iwe halali mkuu

kwa nilpofikia hata kama sio ya halali ntapiga tu wacha niwe kama diamond ft aka
 
inauma sana na huwa wanawake tuna mioyo migumu hakumbuki hata yeye anaweza patwa na majanga
Mnajivunia k zenu, hasa wahitaji wakiwa wengi ndo hamkamatiki ya kula hamkosi. Yet leo mnaadhimisha women's day

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Mnajivunia k zenu, hasa wahitaji wakiwa wengi ndo hamkamatiki ya kula hamkosi. Yet leo mnaadhimisha women's day

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app[/QUOTkwani nyie pia si mnavifanyiio


maranyingi wanawake wengi wakiwa na kitu kidogo kuliko mwanaume wanakuwa wakorofi wenye majivuno wajeuri sana na roho mbaya juu sasa alikuwa na sababu gani kulala kwa bwana na kuja kumwambia mumewe maneno makali hivyo nyambaf mleta uzi niibox number yake nimwambie umenioa uone kama hata hajapanda ngorika akaja kukufwata jeuri tu hana lolote
 
Uncle naona bora ubaki kwanza Dar utafute kazi. Ukirudi tu Arusha mke anakuachia nyumba
 
hujui plan b yake. kwahiyo ukirudi with nothing mfukoni huwenda ukaenda kupotezwa kabisa......

take your time jikusanye kusanye nawewe uwe na kitu cha kujivunia....
 
mke alishaanza kukudharau kwa kuwa huna kazi yani wanawake wa beijing hawa....mh heshima ilianzakutoweka huyo alikuwa anaanza kukutesa na angekulettea mwanaume kabisa ,beleni....bora ulisepa mi kulaleki nisingekubali na narudi si kwa jili yake kulaleki naona alitaka akuachie nyumba aendelee namaisha yake...filisika ujue tabia ya mkeo.....
 
huyo mwanamke sio nduguyo ila watoto wana damu yako, wafikirie sana watoto kumbuka mke wako amekuomba hurudi baada ya watoto kuuliza baba yuko wapi ina watoto wana uchungu mkubwa sana na wewe kuliko mama yao pia usifikirie kazi ya kuajiriwa angalia namna gani utaweza kujiajiri kuna shuguri za kilimo ambazo ni za msimu unaweza kwenda sehemu ukalima kwa kukodi baada ya miezi mitatu unavuna unauza pole sana
 
Binafsi sioni tatizo kwenye wewe kuondoka home kwako..
1. Wanawake huwa wanadai sana usawa, lakini wakipewa huo unaoitwa usawa wanaongea sana. Usisahau, naturally wanawake wanaongea maneno mengi pengine kwa kujua au ....

2. Kwa mlipokuwa mmefikia kabla hujaondoka, palihitaji kutengana kwa muda ili kila mmoja ajenge hamu na mwenzio.. kuna wakati thamani ya kitu huwezi iona kama kila siku unacho.. siku kimekosekana ndo unaweza ukapata pocha halisi.

3. Kimsingi unatakiwa urudi home, lakini vilevile ni lazima useme na mkeo juu ya nini kilikiondoa, na sms ulizozikita toka kwa dada yake.

4. Unatakiwa ufanye kitu cha kukuingizia kipato, bila kujali ni cha kuajiliwa au kujiajili... wanawake wanakiwaga na viburi sana kama yeye ndo anatoa kila siku hela ya huduma za nyumbani...

Ni rahisi sana kwa mwanaume kuchukia kama hana mchango wowote wa mahitaji ya nyumbani. Hiyo inajengwa na inferiority complex. Ni sawa na mtoto wa kambo..
 
ok safi sana hata mimi sio mtu wa kuchagua kazi ...sema sasa hapa dar bado mgeni mgeni kuzpata hata hzo za nguvu ni mtihani
Anzisha biashara ya kusafisha viatu, kushon viatu na kupiga kiwi.
 
mzee naishukuru forum kwa ushauri uliotukuka sio mara ya kwanza kuomba hapa ushauri na nafarjka kabisa...kuhusu nakaa wapi nmeshaelezea hapo nyuma nimepangishwa chumba na bro ambae yeye anakaa huku mda sasa...sijapata kaz bado maana tangu nije huku sasa n siku 40 zimepita......
Kupata Kazi Dar Ni ngumu Sana, jaribu mkoani Tu, mbona hata arusha ungepata Tu, Dar mtihani Sana mkuu
 
Naomba nikushauri, pambana kama unamalengo mazuri na watoto Mungu atakusaidia,
Hao ndo wa kuwaangalia sio huyo mwanamke.
 
Back
Top Bottom