Jamiiforums spans & reviews

Satoh Hirosh

JF-Expert Member
Mar 30, 2021
5,940
23,177
Intro:

Hakuna Shaka Jamii forums ni mtandao mkubwa sn hapa nyumbani Tz .Kwa siku unatembelewa na watu wengi Sana,wengine wakiwa ni guest users

Ukiwa humu ndani unasoma au kuchangia nyuzi mbalimbali basi jiandae kukutana na surprises kibao.Wapo wataokuvamia Tu bila sababu na kukutukana,hatimaye mkajibizana Hadi mnapigwa ban, comments nyingine unaishia kucheka Hadi kuumwa tumbo,wengine huingia kwenye majibizano makali na mshindi anaweza asipatikane

Yote Kwa yote,kupitia jf tunapata elimu,burudani,na kujifunza mambo mbalimbali

Huu Uzi km lilivyo tittle hapo juu ni maalumu Kwa kutupia screenshots za Spana na reviews mbali mbali tunazokutana nazo humu ndani kila siku,ambazo ni za kuelilimisha,kuchekesha na majibizano mbalimbali

Twende kazi!!!

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Kama tujuavyo jf ni kisiwa cha elimu na usharui.Ndugu yetu wa kusoma amekuja kistaarabu kabisa kushukuru Kwa wote waliosaidia kufanikisha Jambo lake

Joanah
IMG_20220426_155040.jpg


Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Mzee Baba kaona isiwe kesi,mmetoka kijijini wacha twendeni tukapate moja baridi moja Moto.

Kilichotokea ndugu wakaagiza zaidi ya pesa aliyokuwa Nayo mfukoni..kijasho kinamtoka hela hana

Mkuu akaja Jf kuomba ushauri afanyaje kujielusha na aibu


Kama kawaida waungwana hawakuwa na hiana,jamaa akapewa ushauri ili asiaibike

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
View attachment 2201416
View attachment 2201417
 

Attachments

  • IMG_20220426_132421.jpg
    IMG_20220426_132421.jpg
    16.5 KB · Views: 20
Back
Top Bottom