JamiiForums ni Sehemu inayonifanya nacheka, na ni sehemu inayonifanya niongee vitu ambavyo siwezi kuviongea mbele za watu

Nani huyo tumchambe
.. kwani ukiwa Jobless unavunja sheria
... Anyways jiamini Mjanja M1
Natamani nikuone Mrembo!

WEWE NI MMOJA WA WAKUU NINAOWAPENDA BILA YA KUWAJUA SURA ZAO.

VIPI UMEOLEWA MREMBO?

KAMA HUJAOLEWA NAOMBA UJE UNISAIDIE KUTUMIA HAYA MABURUNGUTU, ILI UTOE USHAHIDI KWA HAWA WANAWAKE BAADHI WASIOJIELEWA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Sema tu nakukuta wapi tuanze usiku, haiku wa manane ☺️☺️
 
Kwa post hii nmekudharau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…