JamiiForums ni moja ya sehemu nzuri ya kupima IQ ya watanzania wengi

Nimegundua IQ ya mtoa mada Ni ndogo sana, pia ameshindwa kucontrol mihemko toka tumempiga chini Lowasa
 
JamiiForums yatosha kabisa.

Reaction ya watanzania kwa Magufuli imechangia sana mimi kuleta hii mada iliokuwa kichwani kwangu kwa muda mrefu.Watanzania hatujuitambui ni aina gani ya kiongozi tunaemtaka.Yaani tupo kama Nyumbu tu!!

Ulitakaje labda?
 
Mleta mada ni mmoja wa watanzania wenye IQ ndogo kabisa ...mwaka 2008 hadi julai 2015 uliambiwa EL ni fisadi....eti ndani ya miezi miwili na ushehe unaenda kumpigia kura baada ya kugeuzwageuzwa mikono!!

Poor you!

kweli nyani haoni kundule
 
kweli kabisa!

jana katika mkutano wa kampeni wa lema pale kimandolu tambwe hiza alipima iq za watanzania,na akawapa wana arusha big up kwa kuwa na iq kubwa kwa kutambua umuhimu wa mabadiliko na kuvipigia kura vyama upinzani kwa wingi kuliko mkoa wowote tz
 
Tatizo sio tanzania tu, afrika yote. Hata ulaya na Marekani walikuwa hawajitambui,hadi 1650 up to 1800 ambapo yalifanyika mapinduzi ya fikra THE ENLIGHMENT ERA yakianzia uingereza na ujerumani (utafuatilia),Uthibitisho Benjamin Franklin alijitambua baada ya kwenda uingereza kikazi akiwa under 20 na kukfanya maamuzi magumu akiwa kwenye mashua wakati anarudi, baadae alikuja kuwa baba na muasisi wa taifa la Marekani.
englightenment-hero-H.jpeg

Wengi wetu tatizo ni mental programming yetu bado 75% ni negative imejaa poverty mentality na hata ufanye muujiza gani haiwezekani tukabadilika ila kitu kimoja tu.

Matokeo yake ni taifa la watu wabishi,wavivu,waongowaongo,wanaopenda mambo ya juujuu, wenye kupenda kurudishana nyuma, wivu na kila aina

suluisho;
wakati tunasubuli mabadiliko ya kitaifa ambayo wenda usiyaone hadi unakufa, anza mwenyewe na famila yako. Rekebisa bongo yako/rewire/reprogram fikra zako.

Unaanzaje? usidanganye na vitabu vya SUCCESS, Get rich in a second, Jinsi ya .....1,2,3,nk

anzia hapa ndio chanzo cha tatizo letu wengi.
Download hiki kitabu free, tafuta muda soma, hutabaki kama ulivyo, http://manniyati.weebly.com/uploads/2/1/7/2/21729006/what_to_say_when_you_talk_to_your_self.pdf

Nimekupata mkuu ngoja nipate nakala yangu na mie
 
Sasa kama mtu anajiita Jingalao si yeye mwenyewe ama kwa kuambiwa alitambua kua yeye IQ yake ni ndogo?
 
Ujumbe wako unafupishwa na methali hii ya kabila moja la kanda ya ziwa: Mzigo wa mjinga huishia begani.
 
jana katika mkutano wa kampeni wa lema pale kimandolu tambwe hiza alipima iq za watanzania,na akawapa wana arusha big up kwa kuwa na iq kubwa kwa kutambua umuhimu wa mabadiliko na kuvipigia kura vyama upinzani kwa wingi kuliko mkoa wowote tz

I reserve my comment as due to his (Lema) action I can predict his IQ!
 
Nilifikiri ni mimi peke yangu nilie ona hilo hebu nenda kwenye uzi wowote unaohusu kifo cha mawazo na yanayoendelea, utashangaa baadhi ya watu wanavyojibu, kwa mara ya kwanza naona JamiiForums imeingiliwa kuna watu baada ya uchaguzi wana raha iliyopitiliza.
 
Kuna jamaa watatu niliowahi kuwasikia kuwa wanasoma MBA na wako kwenye baadhi ya taasisi nyeti kikazi, naamini watakuwa na IDs hapa jf. Kusema kweli ukiangalia arguments zao kwenye fb sana sana zinakatisha tamaa.
Yaani mtu ni kada wa ccm wakati katika viwango vyao nilitegemea wawe na uwezo wa kufanya contrast ya mawazo yote.
 
Tatizo sio tanzania tu, afrika yote. Hata ulaya na Marekani walikuwa hawajitambui,hadi 1650 up to 1800 ambapo yalifanyika mapinduzi ya fikra THE ENLIGHMENT ERA yakianzia uingereza na ujerumani (utafuatilia),Uthibitisho Benjamin Franklin alijitambua baada ya kwenda uingereza kikazi akiwa under 20 na kukfanya maamuzi magumu akiwa kwenye mashua wakati anarudi, baadae alikuja kuwa baba na muasisi wa taifa la Marekani.
englightenment-hero-H.jpeg

Wengi wetu tatizo ni mental programming yetu bado 75% ni negative imejaa poverty mentality na hata ufanye muujiza gani haiwezekani tukabadilika ila kitu kimoja tu.

Matokeo yake ni taifa la watu wabishi,wavivu,waongowaongo,wanaopenda mambo ya juujuu, wenye kupenda kurudishana nyuma, wivu na kila aina

suluisho;
wakati tunasubuli mabadiliko ya kitaifa ambayo wenda usiyaone hadi unakufa, anza mwenyewe na famila yako. Rekebisa bongo yako/rewire/reprogram fikra zako.

Unaanzaje? usidanganye na vitabu vya SUCCESS, Get rich in a second, Jinsi ya .....1,2,3,nk

anzia hapa ndio chanzo cha tatizo letu wengi.
Download hiki kitabu free, tafuta muda soma, hutabaki kama ulivyo, http://manniyati.weebly.com/uploads/2/1/7/2/21729006/what_to_say_when_you_talk_to_your_self.pdf

Mkuu asante sana ubarikiwe sana nimeshakipata tayari....watu kama ninyi ni muhimu sana kuwafahamu!
 
Kwa sisi wapendwa tunaamini mchungaji haneni kwa matakwa yake ila ni maono kutoka Mbinguni Mchungaji Msigwa alipewa maono toka kwa MUNGU BABA kwamba atakae mchagua Lowasa akapimwe akili. Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu maneno yako hayajaanguka chini tumeona Watanzania kama million 6 ivi wana IQ za bata.
 
Kwa mawazo yako unatupa ushauri wa aina gani? wewe uliyesoma zaidiyetu sisi Mkuu Salary Slip

kwa tanzania tofauti ya aliesoma na asiyekwenda shule ni ndogo sana katika swala la ufahamu na maamuzi ila utamjua aliekwenda shule kwa vingeleza vingi
 
Last edited by a moderator:
Acha kujifanya mjanja au mjuzi sana.. Ujuzi wa lugha si kipimo pekee cha IQ ya mtu
Achana naye huyo mkuu. Ndiyo maana miye nimeamua kum-ignore - dawa bora kabisa ya wajinga waliojaa ujinga mpaka hawauoni ujinga wao japo ujinga wao ni obvious kwa kila mtu!
 
Back
Top Bottom