JamiiForums New version (5.0.25) App For iPhone and iPad users

Mkuu The Tan-talizer unawezaje ku capture screen shot kwenye iPhone? Mi nashindwa mbona?
 
Last edited by a moderator:
Bonyeza kitufe cha switch na ile button ya 'home' kwa wakati mmoja

Imekubali mkuu. Saaafiiiiiiiiiiiiii
Shukrani bhana mkuu.
Asiyekubali kufundishwa hana haki ya kuitwa mwanafunzi.
Leo nimefundishika.
Ushamba ni sawa na zigo la 'nnya'
 
still kama kuna uwezekano,fanyeni muweke hii forum katika store za nokia.!jamii forum katika nokia window phone still haipo vizuri.
 
Ni nzuri sana hii application!!hongereni sana wote waliohusika kuiupdate
 
Vp samsung galaxy clone s4 inawezekana mkuu?
 
Hongereni mtengenezaji was Hui application cause he/she has facilitated many things. Many thanks
 
Wakuu, natumia iphone 5 na nimeinstall jamii forum app, mara ya kwanza it was working fine, baada ya muda ikagoma kuleta update, zaidi ya mwezi hailetiupdate zozote, sio notification wala new post, tatizo linaweza kiwa ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…