Za leo wakubwa kwa wadogo mimi lydia james leo nimejiunga na mtandao huu kwa lengo la kukuza ufahamu katika mambo mbalimbali naomba mnipokee kama mgeni wenu tushirikiane
Mh we ni mwenyeji tuMimi ni Lydia sio Dennis sijui demis
Kutokana na jibu hili wewe sio mgeni.Mimi ni Lydia sio Dennis sijui demis
Kutokana na jibu hili wewe sio mgeni.
Sio lazima kuanzisha uzi wa utambulisho ukishaanzisha ID mpya.
😂😂😂Huyu kweli ni member mpya! Najaribu kutafakari tu wahuni watakavyokimbilia pm
Karibu.Za leo wakubwa kwa wadogo mimi lydia james leo nimejiunga na mtandao huu kwa lengo la kukuza ufahamu katika mambo mbalimbali naomba mnipokee kama mgeni wenu tushirikiane
Aah aiseee ukitoa khanga hapo ulipoiweka nitakukumbuka vizuri tuMimi ni huyu nisifananishwe na watu siwajui jamaniView attachment 1243489View attachment 1243491
Haya bwanaMimi ni huyu nisifananishwe na watu siwajui jamaniView attachment 1243489View attachment 1243491