Shaibu Hiwalisi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 603
- 582
Jamiiforums ina aina wengi wa wajumbe (members). Mf experts members, verified members, platinum members, members, bronze members nk.
Vigezo vipi huwa vinatumika kuwagawa wajumbe katika makundi mwalimbali kama nilivyoyataja hapo juu?
Naomba nifahamishwe tafadhari.
Cc: JamiiForumsJamiiforums ina aina wengi wa wajumbe (members). Mf experts members, verified members, platinum members, members, bronze members nk.
Vigezo vipi huwa vinatumika kuwagawa wajumbe katika makundi mwalimbali kama nilivyoyataja hapo juu?
Naomba nifahamishwe tafadhari.
Kila Kitu Melo na team yake wameweka humu ndani ukiperuzi vizuri na kusoma utaelewa zaidi hayo mambo ya aina ya members.Jamiiforums ina aina wengi wa wajumbe (members). Mf experts members, verified members, platinum members, members, bronze members nk.
Vigezo vipi huwa vinatumika kuwagawa wajumbe katika makundi mwalimbali kama nilivyoyataja hapo juu?
Naomba nifahamishwe tafadhari.
Mkurya huyo= tafadhali
Jamii Forums mobile app
Hata kama, kwenye matamshi sawa but sio kwenye maandishiMkurya huyo
Hata huko wanatumiaHata kama, kwenye matamshi sawa but sio kwenye maandishi
Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ma expert wote tunalipwa....
Jitahidi
TeteteteteMa expert wote tunalipwa....
Jitahidi
Nimewaza tu, inamaana hata kwenye english wataandika crearance badala ya clearance?Hata huko wanatumia
+marupurupuPambana na Hali yako ukifikia kuwa verified member unapelekwa Ulaya na JF
Sent using Jamii Forums mobile app