Miss Curious
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 315
- 498
Hahahaaa. Utaniwakilisha rafiki yako.Mtuambie na dress code kabisa sasa
Hahah!! Nikikumbuka Mwifwa na ule unywaji wake wa Balimi
Siwezi kuwataja wote mpenzi I'm sory ndio maana nimeandika to mention few but let add you over therehao uliowataja ndo ujumuike nao maana mpo karibu,
au unaonaje?
[emoji16]
Usiseme hivyo swetiee alatu nmekusaha while nakufatilia sana post zako
Mtuambie na dress code kabisa sasa
Kwani hautakuwepo?Hahahaaa. Utaniwakilisha rafiki yako.
Siwezi kuwataja wote mpenzi I'm sory ndio maana nimeandika to mention few but let add you over there
Daah kuna uzi uliletwa humu unasema wanawake wanaongoza kwa unafiki wa kuitana majina mazuri mazuri kama SWEETIE,MPNZ so nimeona hayo maneno umeyatumia hapo juu nikawa nimekumbuka hio thread hahah,samahani lkn mkuu.Usiseme hivyo swetiee alatu nmekusaha while nakufatilia sana post zako
Hahaaaaa acha woga mtoto wa kiume weweeeOoooh unaweza shangaa unaenda kwa nia njema ila wasiojulikana wakatokea wakakubana mbavu mpaka useme humu ndani unatumia ID gani waangalie michango yako kama iko negative kwa jiwe!