- Feb 10, 2006
- 4,433
- 15,853
Nipo mkuu, mawakili wanapatikana basi mkuu???One page Mkuu.
Maxence; upo?
Respect.
Nipo mkuu, mawakili wanapatikana basi mkuu???One page Mkuu.
Maxence; upo?
Respect.
Kuna wakati mwingine ni vizuri tu kuweka rekodi straight. Wao kama serikali na chama tawala wana mambo mengi ambayo wanaweza kuyafanya dhidi ya JF. Mojawapo ni hili la kuutangaza mtandao kama ni anti-government. This is a prelude to what I would refer as a calculated crackdown ya social media.
Sasa hivi kuna woga wa aina fulani wa serikali zetu linapokuja suala la mawasiliano ya online activism. Wamejifunza kuwa huwezi kuupuzia tena kwani yamegharimu tawala za Misri na Tunisia na yanasumbua Iran, Syria na hata nchi kama China. Mwanzoni JF na wale tunaoitwa "online activists" tumekuwa ni watu wa kupuuzwa kwa sababu ya kuwa "hatuko on the ground".
Imani hii imewatoka sasa na wameelewa kuwa you don't have to be on the ground kusababisha uchokozi wa kifikra na hata kusababisha mwamko mkubwa wa kisiasa. Baada ya kuelewa hili CCM na taasisi zake wanajipanga vilivyo tu kuhakikisha kuwa nguvu za mitandao hii zinakuwa muted.
Kuna hatua kadhaa ambazo zinapikwa ambazo zinalengo la kusababisha mabadiliko makubwa ya mambo haya ya mawasiliano ili kuweza kuhakikisha kuwa serikali inakuwa na upper hand katika kudhibiti "vurugu, uchochezi n.k". Hili lililofanywa na kina Msekwa ni utangulizi tu wa yale yaliyomo.

Max, mawakili tupo. Ngoja tupitie vielelezo ili tujue nini cha kufanya. Hakuna sababu ya kukurupuka kwa sababu wanataka kuchukulia sifa endapo watashinda kesi kwa ujanja ujanja.
Stop being paranoid bana. And over-romanticization of the whole ordeal. Nobody has any plans of censoring this place. Just collect your MediaFund cheque and keep on doing what JF is doing.
Mbona kama imeandikwa na Mwanakijiji? Lol.....
Nipo mkuu, mawakili wanapatikana basi mkuu???
Unajua Superman suala la mahakamani ni zuri (kinadharia) lakini kabla ya kwenda kichwa kichwa lazima kuangalia cons and pros, kusema JF ikishinda itajijengea heshima hakutoshi ikishindwa je. Mimi nachoangalia CCM wana serikali mahakama ni yao wanaweza kufanya chochote tukaishia kupiga kelele tu hapa na wataanza kutucheka, ushauri wangu ni heri kuonekana mwoga kwa kipindi fulani kuliko kujipeleka kwenye mdomo wa simba kwa kutegemea sifa baada ya kumuua huyo simba (omba umuue usipomuua) huo ndio wasiwasi wangu.Mkuu Q;
Madai ya UONGO na KUIVUNJIA HESHIMA JF yako obvious na hata mahakama ikienda against ukweli huu itakuwa kituko. Tufanye Umafia tu Makomandoo wailete report ya hao Maconsultant wa CCM hapa.
Akina Ruta; Advocate Jasha nk, watupe tu inputs. Wanaweza kuwamaliza CCM Mahakamani bila hata JF kurundikana mahakamani.
Kama JF ikifanya hivyo na kushinda, itakuwa imejijenga kama Muhimili unaojitegemea.
Hatua hii itahitaji baraka za Uongozi wa JF.
Respect
SM
Nipo mkuu, mawakili wanapatikana basi mkuu???
One page Mkuu.
Maxence; upo?
Respect.
Nipo mkuu, mawakili wanapatikana basi mkuu???
Mkuu; at least hapa JF wako 3 ninowajua. We can Mkuu. Tupe go ahead tu tutengeneze kama Billion 100 za damages.
Unajua Superman suala la mahakamani ni zuri (kinadharia) lakini kabla ya kwenda kichwa kichwa lazima kuangalia cons and pros, kusema JF ikishinda itajijengea heshima hakutoshi ikishindwa je. Mimi nachoangalia CCM wana serikali mahakama ni yao wanaweza kufanya chochote tukaishia kupiga kelele tu hapa na wataanza kutucheka, ushauri wangu ni heri kuonekana mwoga kwa kipindi fulani kuliko kujipeleka kwenye mdomo wa simba kwa kutegemea sifa baada ya kumuua huyo simba (omba umuue usipomuua) huo ndio wasiwasi wangu.
Superman and the team, acheni kumpotosha mwenzenu. Mnamsakizia halafu mtapotea na kumuacha anasota kutafuta consultancy fee ya mawakili na mahakamani atajikuta mwenyewe akifuatilia kesi. Huku nyuma mnalalamika kitufe cha thanks kimetolewa, mtalalamika JF iko down.
Hebu na ajitolee mtu kushtaki sio kusend messages tu bila kuonyesha how to go about it, annhh, easy said than done.
Wakati Daudi ameamua kushika kombeo kwenda kuonana na Goliath hakuwa na chance yoyote ile. Everything - and I mean everything- was not in his favor. Siyo tu hivyo hata silaha aliyokuwa nayo was unconventional and I would argue outdated. He had no chance whatsoever. JF has no chance against CCM and its government. But, I believe - and this is just an old man's belief- kwamba justice sometimes prevail against all odds. Tukishindwa hakuna anayeweza kushangaa.. we had no chance in the first place. Hivi kama Goliath angemmaliza Daudi ingekuwa ni stori ya kukumbukwa?
Hata hili tamko ni zaidi ya uwezo wa JF kulitoa. Yaani JF inatoa tamko dhidi ya Makamu wa Mwenyekiti wa CCM ambaye amewahi kuwa Spika wa Jamhuri ya Muungano? Mbele ya watu hawa we have no chance. But should we just surrender without throwing a punch? Should we just drop our heads like princes removed from their thrones? Tukubali tu yaishe kwa sababu tukiangalia kila kitu kiko kinyume chetu?
Wengine wanasema "don't even think about fighting" Kweli CCM imeharibu sana psyche ya taifa. Real bad.
...

Sawa nisiwakatishe tamaa mawakili wenyewe wa JF ni akina nani Pasco, MsandoAlberto na Gurudumu au nimekosea, angalizo tu adui mnayemwendea msim underestimate ana uwezo hata wa kuwaazima silaha bila nyie kutambua siku mkitaka kufyatua zikawa hazina risasi nafikiri umenielewa.Mkuu;
Wacha Wanasheria wafanye kazi yao kwanza.
Freedom has a Price Tag kama JF itataka kujenga muhimili wake.
Zama za woga zimekwisha sasa; hivi upepo wa Kisiasa umebadilika.
Respect.
SM
Tupeane na kaelimu kidogo kwenye hili, hivi kuna cyber law nchi hii? redio uhuru kila siku inamtukana Dr Slaa, lakini mwenzao amewapuuza na watanzania wanazidi kuufahamu ukweli, huu ni upepo wa mabadiliko hauzuiliki.