JamiiForums inaniathiri

Solo Traveller

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
1,724
Reaction score
5,170
Inanipa sana wakati mgumu,
Hasa nje ya mtandao huu

Huko kwenye Whatsapp group Naona watu wanachart wanaongea pumba tu.

Hawana fact Wala logic, nishazoea huku watu wanaongea kwa fact.

Hali inayopelekea kugombana na baadhi ya watu kwa sababu hawana mawazo yenye akili.

Issue ingine nakuwa free na dare tu talk openly nasahau wengi wao ni machawa wa sisiemu
 
“Jamii forum inaniathiri”

Ulitaka kumaanisha “Haikuathiri” au maana heading na habari ni tofauti inaonekana wewe kinachokuathiri ni huko W'app groups etc siyo Jamiiforums.
 
Upo emotionally weak ndio maana waingia magomvi kwa sababu zinazoepukika. By the way Jf ya sasa ipo kawaida tu
 
😂 😂 😂 😂 Mm mpaka washkaji wanasemaga mm mjuaji sana
 
Mkuu unakaribia kuchanganyikiwa.
 
Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…