JamiiForums ilipotoweka ulijisikiaje?

JamiiForums ilipotoweka ulijisikiaje?

engmtolera

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
5,149
Reaction score
1,441
Ndugu wana jf ni vizuri tukajuwa hisia zetu juu ya jamii forum,kwani kwangu mimi jamii forum ni kila kitu,huwa nahisi nipo nyumbani morogoro kihonda kwa chambo, na kwa kweli nilihisi kufa baada ya saa 6.30 mchana ya hapa china kufunguwa jamii forum na kuambiwa kuwa nivumilie baada ya saa moja itakuwa ok.
ningependa kujuwa wewe mwanajamvi ulijisikiaje baada ya jamii forum kutokuwepo kwa masaa kadhaa ndani ya mtandao?
toa hisia zako tujuwe

mapinduziiiii daimaaaaaaa :target:
 
Sitaki!!! Usije ukawa unaniuliza kumbe ni wewe ndie ulifanya kazi hii ilionikashirisha sana.
 
Ndugu wana jf ni vizuri tukajuwa hisia zetu juu ya jamii forum,kwani kwangu mimi jamii forum ni kila kitu,huwa nahisi nipo nyumbani morogoro kihonda kwa chambo, na kwa kweli nilihisi kufa baada ya saa 6.30 mchana ya hapa china kufunguwa jamii forum na kuambiwa kuwa nivumilie baada ya saa moja itakuwa ok.
ningependa kujuwa wewe mwanajamvi ulijisikiaje baada ya jamii forum kutokuwepo kwa masaa kadhaa ndani ya mtandao?
toa hisia zako tujuwe

mapinduziiiii daimaaaaaaa :target:
Nilihisi nipo ndani BAN........................ By the way, najuwaje kama nipo kwenye BAN........???
 
Mie naomba mnisaidie namna ya kutuma post mpya sababu sioni hiyo option.
 
si tuliozoea BAN nikajua tayari nimeshawaudhi wakubwa wa humu JF wanajiita MODs....mradiisiwe kama ya mkuu KIGOGO kapigwa BAN ya kimafia sana ..3 months???dahhh
 
[QUIlikuwa mbaya sana maana nimezoea kila siku kupata habari fulani fulani
 
Back
Top Bottom