JamiiForums' FREE iPad & iPhone/iPod Touch app is now released

JamiiForums' FREE iPad & iPhone/iPod Touch app is now released

Status
Not open for further replies.
Mkuu,

We nunua android tablet bana, it's cheap na naamini hutojutia. Naelewa, haya ma-iPad au ma-iPhone ni aghali sana lakini android si gharama kiviiile; blackberry humu JF naona watu wanazitangaza kwa bei ya laki 2 hadi laki 3; bado unaweza kununua na kwendana na maisha yanavyotupeleka!

Karibu

Dah hapo kwenye nyekundu umenikatisha tamaa kabisa,manake mie kipato changu ni chini ya dola moja kwa siku sasa unaposema sio ghali kivile halafu unaongelea mambo ya laki 2 mpaka 3 basi JF mtakua mku fiti.
 
Wanajamii,naomba mniambie kati ya Operating Systems za Simu zifuatazo ni ipi Bomba kwa matumizi ya kisasa ya Mawasiliano simu?
.MICROSOFT phone8
.IoS 6
.Android Jelly Bean 4.1

Mm natumia os kwa iphone 4 na android 4 kwa sony ericsson arc mm naipenda android ni simple...
 
Wanajamii,naomba mniambie kati ya Operating Systems za Simu zifuatazo ni ipi Bomba kwa matumizi ya kisasa ya Mawasiliano simu?
.MICROSOFT phone8
.IoS 6
.Android Jelly Bean 4.1

Me naona Jelly Bean iko poa
 
Eti jaman, nokia X2 YANGU imegoma kudaunload,
nkitaka download inaleta option ya kudownload halaf nkitaka download inafungua halafu inatokeo O kubwa ya opera miin na inagoma, kama kuna m2* anaweza nipa maujanja anisaidie lz

haifingui mail service

wala ovi store
 
Kaizer: Bunduki bila risasi yaweza ua. Piga kichwa kwa kitako chake
 
Nimeipenda kwa kweli. Unabahati sana Inv hakuna kitufe cha kubusu.....sipati picha ....lol🙂🙂
 
Ndiyo kusema mmeondoa App ya kwenye Blackberry na kuacha ya iPad na iPhone tuu. backberry sasa hivi ukifungua inakuambia The APN setting is not correct na haifunguki. Ambapo hapo nyuma ilikwa Bomba.
 
Ndiyo kusema mmeondoa App ya kwenye Blackberry na kuacha ya iPad na iPhone tuu. backberry sasa hivi ukifungua inakuambia The APN setting is not correct na haifunguki. Ambapo hapo nyuma ilikwa Bomba.
 
naomba mnielekeze namna ya kujiunga whatsapp kwa simu aina ya iphone 4s

Unacho takiwa kufanya unaingia kwenye app store ikisha kubal unaingia kwenye Sachi kisha unaandika Whatsap utaletewa baada yah apo Utai download nakuanza kutumia Kwan hata mm natumia iphone 4
 
Ndiyo kusema mmeondoa App ya kwenye Blackberry na kuacha ya iPad na iPhone tuu. backberry sasa hivi ukifungua inakuambia The APN setting is not correct na haifunguki. Ambapo hapo nyuma ilikwa Bomba.

Anza kutumia iPhone
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom