Ukikatumia kutembelea JF utapata notification ambayo itakupeleka sehemu ya kuipakua application hii
Hello,
JamiiForums has launched a new app for the iPad and iPhone/iPod Touch that lets you access JF via these devices.
The FREE app, which you can find in the AppStore if you search for "JamiiForums", is Compatible with iPhone, iPod touch and iPad. It Requires iOS 4.0 or later.
Click here to find the JF iPad app in the App Store, If you want the iPhone version of JamiiForums, click here.
We're giving you this app for FREE and hope you enjoy it. If you have any feedback, we'd be grateful for it at apps@jamiiforums.com
Mkuu, ni kuwa tumeongeza viunganishi vya JF katika iPad na iPhone/iPod Touch ambavyo vinamrahisishia mtumiaji wa vifaa hivi kuifikia JF kirahisi zaidi.Hii Lugha mimi inanipa shida sana..........hata sijaelewa..........!
hebu ajitokeze mtu anifasirie basi........................................................!
Invisible nakushukuru mkuu kwa kufasiri hiyo maneno.......................Mkuu, ni kuwa tumeongeza viunganishi vya JF katika iPad na iPhone/iPod Touch ambavyo vinamrahisishia mtumiaji wa vifaa hivi kuifikia JF kirahisi zaidi.
Palipoandikwa 'Click here' na pana rangi ya bluu, pana kiunganishi (link) cha kukupeleka ambapo utaweza kupakua viunganishi hivi ambavyo ni vya BURE.
Nimeeleweka?
Hatujawatupa, tunaenda taratibu lakini demand kwa sasa ilikuwa kwenye Android, iOS na BlackBerry OS kwa zaidi. TutajitahidiSome of us are still stuck in 'Symbian OS' world.
Hayo ma-android sijui Iphone na Ipad yametushinda kutokana na vipato kutoruhusu pia wengine umri umesonga sana na yana complication kibao tunashindwa kuyatumia hebu mtufikirie kidogo na sisi jamani.
Hatujawatupa, tunaenda taratibu lakini demand kwa sasa ilikuwa kwenye Android, iOS na BlackBerry OS kwa zaidi. Tutajitahidi
Mkuu,Haya mkuu na sisi ma-veteran tunataka kwenda na wakati kidogo tusije baki nyuma.
Mkuu,
We nunua android tablet bana, it's cheap na naamini hutojutia. Naelewa, haya ma-iPad au ma-iPhone ni aghali sana lakini android si gharama kiviiile; blackberry humu JF naona watu wanazitangaza kwa bei ya laki 2 hadi laki 3; bado unaweza kununua na kwendana na maisha yanavyotupeleka!
Karibu