JamiiForums android app imeboreshwa!

JamiiForums android app imeboreshwa!

Congrats JF Team
Now iko faster na bugs zimepungua sana
 
MZALENDO Sijuwi kwako Vipi lakini Mimi hamna bugs Wala force close kwenye app.
 
Wakuu mimi ninatumia Samsung Galaxy Tab 2 7.0 inch. (GT-P3100), Nashangaa google store play inazingua kuinstal kwenye hii mini tab, JF ile ya kwanza niliipata kupitia 1mobile market.

Swali langu je niki uninstall ya sasa na kuinstal tena hii JF itakuwa tayari imekuwa updated au ni lazima nipitie google play store kuipata hii mpya?
 
Kwenye ipad na iphone app inakata sana unapojaribu kufungua.
Mkuu,

Ya iOS kwa ujumla itakuwa kwenye soko ndani ya masaa 72 yajayo. Tuwie radhi mkuu wangu.

MZALENDO Sijuwi kwako Vipi lakini Mimi hamna bugs Wala force close kwenye app.
Itakuwa huja-update. Kama hujapata automatic notification basi tembelea Google Play na utaona ikidai update. Make sure you are searching for "JamiiForums"
Wakuu mimi ninatumia Samsung Galaxy Tab 2 7.0 inch. (GT-P3100), Nashangaa google store play inazingua kuinstal kwenye hii mini tab, JF ile ya kwanza niliipata kupitia 1mobile market.

Swali langu je niki uninstall ya sasa na kuinstal tena hii JF itakuwa tayari imekuwa updated au ni lazima nipitie google play store kuipata hii mpya?
Kujibu swali:
Ndiyo, itakubali
 
Mkuu Invisible

Naomba muweke button ya kuandika new post. Sasa hivi huwezi kuandika habari mpya ila kujibu tu!
Mkuu,

Ipo, check menu ya simu yako kama ukiwa umefungua forum husika na utaona hiyo option. Endelea kucheza nayo, utaizoea!
Mkuu vipi na ya BB maana haina haiko sawa kwakweli.
Ni kweli, iko kwenye marekebisho na tunatambua kuwa inazo bugs kadhaa.
Hongereni wakuu,but vipi mtu akitaka kuanzisha uzi anafanya fanyaje!!!au jamani simu yangu ndo haijitambui!mwanzo ulikuwa kabisa unaambiwa bofya hapa,but nime-update naona chenga.MSAADAA!!!!
Kama nilivyomweleza Dingswayo, cheza nayo.
Invisible mimi binsfsi nimeupdate hii app lakini sijaridhika nayo, naipata jf bomba sana na katika mhonekano mzuri kasoro avatar tu nikifumia opera mini labda unielimishe kama kuna settings zaidi, maana hii app advantage yake kwangu ni kuona avatar tu.
Mkuu,

It's obvious unaongelea kitu tofauti na 'Android App'. Nahisi unaongelea 'Touch Site' ambayo hata hivyo ina zaidi ya kuona avatars.

Android app ina zaidi ya kuona avatars; ingekuwa hivyo wengi wasingekuwa wanahitaji tuwe na apps.
Sina hakika kama hapa ndo mahali pake kuuliza, ila mkuu Invisible, ninatumia iphone4, nilidownload JF app for iphone nikaipata ila kila nikijaribu kuifungua hasa kupitia "enter now" sifanikiwi. Tatizo nini?

Otherwise I appreciate kazi yenu nzuri

Genekai!!!!!!!!!
Mkuu,

Tunatambua kuwa mabadiliko yaliyotokea kwny iOS yameathiri app yetu. Nimeshaahidi kuwa ndani ya siku 3 tutakuwa tumeboresha.
Kwenye ipad na iphone app inakata sana unapojaribu kufungua.
Mkuu,

Huu uzi ni wa "Android app" lkn nikuhakikishie kuwa kwa iPhone na iPad tunaboresha kama nilivyoahidi hapo juu
 
Last edited by a moderator:
Kwa baadhi ya watu, automatically itaji-update (kulingana na settings za simu/tablets zao) na wengine watatakiwa ku-update manually. Yes, tumerekebisha yale yaloombwa kurekebishwa japo tayari mengine yashaanza kupendekezwa.

Asante

Mkuu...kuna tatizo bado..
Hii application haibebi Signature.
Hata ni Enable bado haitokei kwenye post zangu.
Kindly review
 
Mkuu Invisible
Hope utakuwa umenisoma..hii app iko tofaut sana na iliyopita...new feature ya Signature kwenye settings bado haifanyi kazi,Hii option ina dispaly Model ya simu na Forum application used kwenye post...e.g "Sent from my ......using Jamiiforoums"
Nime enable but kwenye post zangu haitokei..kindly review Mkuu.
Hii kitu inahusika Mnooooooo

Important
Wakuu JF app inayo run kwenye androi ni ina architecture tofaut na JF app on other OS,So hii App haikuhusu kama device yako haina Android Operating System.
 
Last edited by a moderator:
Wazee vipu kuhusu BLACKBERRY 8310. Mbona haikubali ku download google play?nifanyeje ili niweze kuipata?
 
Wakuu nauliza juu ya app ya JF kwa windows phone, msaada wataalamu.
 
Back
Top Bottom