Kwa baadhi ya watu, automatically itaji-update (kulingana na settings za simu/tablets zao) na wengine watatakiwa ku-update manually. Yes, tumerekebisha yale yaloombwa kurekebishwa japo tayari mengine yashaanza kupendekezwa.
Asante
Asanteni sana wakuu. I hope ile kitu ya application kustop kila mara haitakuwepo tena.
Barikiweni hadi mshangae

Nadhani unamaanisha alichosema idawa.
Mentioning haizuiliki ila notifications tumeshalifanyia kazi. Tutaweka kwenye market soon baada ya kujiridhisha kuwa inafaa kuwa final product kutumiwa na wateja.
Mkuu,
Kwenye Google Play; search for JamiiForums
Ni hivo tu!