Jamiiforum mobile app inasumbua kulog in

Geniustin

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2013
Messages
3,684
Points
2,000

Geniustin

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2013
3,684 2,000
Hellow wakuu,

Hii ni wiki ya tatu sasa jamiiforum app nikitaka kulog in inaniletea maelezo ya ku register,
Hata hivyo nikifuata hayo maelekezo inanirudisha nyuma tena kwenye kulog in.

Tatizo ni nini?
Cha kufanya cha kwanza...

"""Nenda kaLOG IN kwa kutumia WEB, Namaanisha kaiGOOGLE(Alafu uLOG IN)"""

Baada ya hapo, utakuta kuna "Terms na Conditions"" ziAGREE"" ukimaliza kuzikubali hizo PRIVACY, utakuwa umeLOG IN tayari kwa hiyo WEB.

Step ya pili , Rudi kwenye APP...Utakuta mambo mazuri.
 
masafi

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2015
Messages
435
Points
500

masafi

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2015
435 500
Cha kufanya cha kwanza...

"""Nenda kaLOG IN kwa kutumia WEB, Namaanisha kaiGOOGLE(Alafu uLOG IN)"""

Baada ya hapo, utakuta kuna "Terms na Conditions"" ziAGREE"" ukimaliza kuzikubali hizo PRIVACY, utakuwa umeLOG IN tayari kwa hiyo WEB.

Step ya pili , Rudi kwenye APP...Utakuta mambo mazuri.
shukrani
 
Forum statistics

Threads 1,366,672
Members 521,539
Posts 33,375,405
Top