jamii za kitanzania na ujasiriamali

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,453
20,712
wamasai-ulinzi,utembezaji wa dawa za kienyeji
wamakonde-ulinzi wa nyumba zisizoisha,uuzaji wa nguo za mitumba.
wachaga-uuzaji wa pombe na nyama ya nguruwe(kitimoto).
wapemba-uuzaji wa Vyuma chakavu na spea za magari yaliyokwisha tumika.
wazaramo na wandengereko-madereva wa daladala na upiga debe.
wangoni-mafundi gereji.
waha-wauza kahawa na karanga.
wasambaa-upigaji ramli,uuzaji wa chips,maduka ya kuuza shanga za kinamama
wanyakyusa-kuendesha huduma za mahuburi,uimbaji wa nyimbo za dini.

orodha yangu ni fupi sana.wadau mnaruhusiwa kuiongeza......
 
Hiyo katika kigoda cha elimu tulikuwa tunaiita "distribution of labour" au "mgawanyo wa kazi"
 
Hiyo Wapemba wauza vyuma ungeiandika kwa herufi kubwa mwanzo nilidhani wauza nyuma!
 
Wahaya kunanihiii.....yaani kama mtu anananihii saaaaaaaana yaani kamaaa... nimekumbuka KUSOMA SANA mpaka PHd.
 

Kama mtu anajifunza lugha ya kiswahili humu jamvini, itamchukua muda mrefu sana kujua anachomaanisha huyu jamaa, mweeeh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…