Gwanggaeto the Great
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 882
- 1,909
Sawa nduguNgoja waje wapo kanisani
Kila zama na kitabu chakeMuziki ni Utanzu wa Sanaa unaotumia sauti ambazo hugusa Hisia za Watu.
Dhima ya Muziki ni Kuburudisha, Kuonya, Kuelimisha na Huleta Tumaini.
Miye nikiwa na miaka 6,7,8 nilikuzwa na miziki mfano Starehe FEROOZ, Nikusaidieje Prof Jay , Yah Karim Ali kiba . nyimbo hizo zilinifanya kuwa Mtu makini na mwenye kufanya maamuzi sahihi pia nimekuwa Mtu Bora katika Jamii yangu.
Tofauti na jamii za Leo ambazo zimegubikwa na Nyimbo zihamasishazo ngono mf. Kibamia , Kwangwaru na zisizokuwa na Maana yoyote zaidi ya kuburudika( shit songs) Jibebe n.k. Unadhani Hawa waliokuwa katika nyakati hizi za Jibebe ,Kwangwaru n.k wanaweza kufukia hata robo ya uwezo wangu wa Fikra miye niliyekuzwa na Mkuki Moyoni Heshima Mtazamo Afande sele,, Tamaa mbaya , Jipange blad key, Elimu Dunia. (Jibu) Hapana
Muziki si kwa ajili ya kuburudisha tu bali Huleta Faraja kwa Walio na Upweke, Huleta tumaini kwa walio kata tamaa. Lazima muziki umjenge mtu kiakili , Kiroho, Kimwili ili aweze kukabiliana na changamoto mbalimbali
Ikumbukwe Fasihi ni Chombo cha Kufundishia Jamii, kama Jamii zetu zinafundishwa ngono na Kuisifia unadhani jamii gani tunaijenga zaidi ya Mabwabwa wazinifu na Vipofu wa Upeo. Mtu huishi katika yale ambayo huyaona na Kuyasikia kila siku kwani Tabia hujengwa na Matendo yetu ya kila siku ambayo ni Mazoea. Hivyo jukumu la kukemea na Kuikomboa Jamii ni letu Sote.kama jamii yetu ikiangamia mimi na wewe tutakuwa tumehusika..
Unadhani hiyo ndiyo njia ya Kuikomboa Jamii ya Watu walio katika Bahari ya Upotovu?!! Kumbuka Umoja ni Nguvu pia Kidole kimoja hakiwezi kuvunja chawaSikupingi ila wasanii wetu sio lazima wakufurahishe wew tu na uridhike ukitaka hivo kaanzishe Band yako nikupe na jina utaiita great conquer Band
Haya mkuu kwa kua ni wazo lako sio mbaya niheshimu tu mawazo yako ila hauko sahihiUnadhani hiyo ndiyo njia ya Kuikomboa Jamii ya Watu walio katika Bahari ya Upotovu?!! Kumbuka Umoja ni Nguvu pia Kidole kimoja hakiwezi kuvunja chawa
Nyakati haziwezi kufanya siye tukabadili Maudhui bali nyakati zinatusaidia kufanya maboresho ya Sehemu dhaifu.Kila zama na kitabu chake
inategemea unapenda kusikiliza nyimbo gani, kwa maana nyimbo za kistarabu zipo nyingi tuMuziki ni Utanzu wa Sanaa unaotumia sauti ambazo hugusa Hisia za Watu.
Dhima ya Muziki ni Kuburudisha, Kuonya, Kuelimisha na Huleta Tumaini.
Miye nikiwa na miaka 6,7,8 nilikuzwa na miziki mfano Starehe FEROOZ, Nikusaidieje Prof Jay , Yah Karim Ali kiba . nyimbo hizo zilinifanya kuwa Mtu makini na mwenye kufanya maamuzi sahihi pia nimekuwa Mtu Bora katika Jamii yangu.
Tofauti na jamii za Leo ambazo zimegubikwa na Nyimbo zihamasishazo ngono mf. Kibamia , Kwangwaru na zisizokuwa na Maana yoyote zaidi ya kuburudika( shit songs) Jibebe n.k. Unadhani Hawa waliokuwa katika nyakati hizi za Jibebe ,Kwangwaru n.k wanaweza kufukia hata robo ya uwezo wangu wa Fikra miye niliyekuzwa na Mkuki Moyoni Heshima Mtazamo Afande sele,, Tamaa mbaya , Jipange blad key, Elimu Dunia. (Jibu) Hapana
Muziki si kwa ajili ya kuburudisha tu bali Huleta Faraja kwa Walio na Upweke, Huleta tumaini kwa walio kata tamaa. Lazima muziki umjenge mtu kiakili , Kiroho, Kimwili ili aweze kukabiliana na changamoto mbalimbali
Ikumbukwe Fasihi ni Chombo cha Kufundishia Jamii, kama Jamii zetu zinafundishwa ngono na Kuisifia unadhani jamii gani tunaijenga zaidi ya Mabwabwa wazinifu na Vipofu wa Upeo. Mtu huishi katika yale ambayo huyaona na Kuyasikia kila siku kwani Tabia hujengwa na Matendo yetu ya kila siku ambayo ni Mazoea. Hivyo jukumu la kukemea na Kuikomboa Jamii ni letu Sote.kama jamii yetu ikiangamia mimi na wewe tutakuwa tumehusika..
Utu uzima Hupimwa kwa BusaraUache kusikiliza, Umri wako umeenda
Ulivyokuwa unaona hizo wakina Ferooz zinakufunza basi hata hawa wa sasa wanaona hizi ndizo zinawafunza na kutushangaa sisi hivi tulipendea nini zile nyimbo za kina Juma Nature!!
Muda unabadilika.