Jamii yetu ilimchukulia mfanya mbiashara kama adui

Jamii yetu ilimchukulia mfanya mbiashara kama adui

liganga4

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2010
Posts
293
Reaction score
195
Kwa wale wahenga mtakumbuka tulikuwa tukifundishwa juu ya aina za wanyonyaji, tulifundishwa juu ya makabaila na mabepari kwa ni wanyonyaji ambao kimsingi ndiyo wafanyabiashara.

Walifaulu vizuri ndiyo baadhi yao ni watendaji wakuu serikalini, najaribu kufikiri ugumu wanaopata wafanyabiasha hautokani na dhana ya ukabaila?
 
Back
Top Bottom