Mkuu...
Achana na mambo ya Tv [emoji12], sababu Tv ni mambo ya kizamani, kulazimika kutazama na kusikiliza kile ambacho hauna uwezo wa kukijua zaidi ya kile unacho somewa. Huku tunapo soma na kutoa maoni yetu ndipo patam kwasababu tunapata uwanja mpana wa kujipambanua kwa kupata hoja na mikingamo tofauti, na huku tukitumbua majipu, na kurusha mawe gizani[emoji13]