huoni tutaanza kuweka ukabilization hapa baba paroko
Kujulishana kunakuwa na faida sana hasa kwa wale ambao wako kwenye mahusiano na watu wa kabila ambalo litaonekana na tabia hii ili aamue mwenyewe,hii ni sawa na kuambiwa kuwa familia fulani ina maradhi fulani ya kurithi,atakaekuambia hatakuwa ameidhalilisha familia husika au kukuchukia bali atakuwa amekupa taarifa ambayo itakufanya ujue ukweli na kama utaamua kuingia kwenye familia hiyo siku ikaona jambo hilo usiende kwenye ramli kumtafuta mchawi
Vivyo hivyo kwenye hili,kama kuna mtu ambae anajua kabila fulani au jamii fulani ina kawaida hii ya kutaka kuwatawala waume zao basi akipewa taarifa hii kupitia hapa atajua cha kufanya na siku mkewe akianza harakati hizi basi asije akafikiria kuwa mkewe karogwa au kudhani ana mchepuko unaompa kiburi bali ajue tu kuwa hiyo ni kawaida ya kabila au jamii yao
Pamoja na huu ni ukabila.....kwa uzoefu wangu ni wanyakyusa.....
Unaenda wapi??
Ndio wapi huko?
Unaogopa nini sasa??
Rione kwanza ,,,,lol!!
Teh teh bado kidogo ntaanza kukuchukia wewee....!!. Lakin mkuu mi naommba niseme kitu amekigusia mheshimiwa Matola pale....siku hizi kinachomfanya mtu ampandie mumewe hata sio kabila au mila za kwao. Wadada wengi wa kidijitali wana hayo mambo hasa akiwa na mali,elimu na cheo. Kabila halina influence siku hizi