Jamii inatafisri vipi yanayotokea CDM

Jamii inatafisri vipi yanayotokea CDM

ZITTO CHAGUO LA UMMA...MBOWE CHAGUO LA MTEI...mmemchonoa wenyewe ngoja muone balaa lake nendeni mkamwabie LISSU Atuongei na kifaranga tunaongea na mama yao
 
Wewe ni kifaranga usiyeweza kufikirisha watu wenye fikra pevu,hasa unapotoa povu kuwa Mh ZZK huenda kinyume ktk kila hoja ya kuipinga serikali
 
Ninachokishangaa mimi chadema ni double standard.
Kuna watu hata wafanye kosa gani hawaguswi.
Nasema tena kama chadema wangekuwa fear, Mbowe angeshafukuzwa uanachama.
Lema pia angeshachukuliwa hatu za kinidhamu.
Lakini wanaadhibiwa watu fulani fulani tuu.
 
[QUOTE=NyakaiIkagogo;8308702Wewe ni kifaranga usiyeweza kufikirisha watu we nye fikra pevu,hasa unapotoa povu kuwa Mh ZZK huenda kinyume ktk kila hoja ya kuipinga serikali[/QUOTE

Unalosema kama huwezi kuwaza ni ww umejaa uzandiki wa zito, mimi sijaleta uzi kwa watu wasiona fikra pevu kama zako. Panua mawazo yako mtetee mtu kwa jinsi alivyo. Mtu anakamata mwizi harafu anamwambia mwizi ajilete mwenyew mahamani na kidhiti. Mimi nimemshangaa anashindwaje kufika hata ofisini kwake na kujadiri na hao wabaya wake. Wambeya ndiyo mlivyo shujaa haongelei fb au jf alikuwa nanafasi kuwakanya wabaya wake kama kweli. Mimi sijatetea afukuzwe chama atengwe kuwa kiongozi. Utamaduni wa mtu kukosea mpk afutwe chama ni mbaya. Kama huwezi kufikri niwewe.
 
Ninachokishangaa mimi chadema ni double standard.
Kuna watu hata wafanye kosa gani hawaguswi.
Nasema tena kama chadema wangekuwa fear, Mbowe angeshafukuzwa uanachama.
Lema pia angeshachukuliwa hatu za kinidhamu.
Lakini wanaadhibiwa watu fulani fulani tuu.

Kama umechukia nenda kanywe sumu.
 
Kama umechukia nenda kanywe sumu.

1452339_558673044208406_2063836110_n.jpg
 
Mkuu nidhamu itatoka wapi bila kufanya hivo. Watu wenye uchu wa madaraka na tamaa binafsi dawa ni kusafisha. Tunafanyaje magugu shambani? Tuyaache yakue na mazao? Hapana tunang'oa.
na tatizo ukiyaacha kama wengi wao wanavyosema ,yataambukiza mengine kwani CDM bado ni changa sana , kwa zitto sasa hivi anasubiri tu maamuzi ya waliomtuma kwa. option ya kutoka katika chama haikuwepo , hata zitto mwenyewe atakuwa anajiuliza imekuwaje , kwani alitakiwa akimalize chama, mpaka kitoweke katika ramani ya watanzani , hapo sijui kama kuna mtu angeamini upinzani tena, hongereni kamati ya mipango na intelijensia, kazi nzuri. wasio na elimu vurugu za chadema na zitto wao ni muziki wa bongo fleva na ndiyo zitto anawatumia kueneza porojo zake . kwanza naweza kusema zitto ni mkabila huwezi ukapata tatizo la kisiasa unakimbilia kwenu , tena afadhali angeenda jimboni kwake , kitendo cha kuzunguka mkoa wa kigoma ni kuleta ukabila ambao utaigawa nchi , kwamba waha wameonewa na wachaga ambacho ndicho wana kigoma wenye akili finyu wanafikiri , na kuwachukia mbowe na slaa na mimi ni muhanga wa hilo , kutokana na ukaskazini huo
 
Maamuzi ya CC ya CDM hakika ni ukomavu wa kisiasa.Maamuzi ambayo katu hayawezi kuchukuliwa na chama chochote nchini.Alafu namshauri mh Zitto kwamba huu muda anaoupoteza mahakamani angeutumia kuanzisha chame chake.

Mh. Zito kama anataka uwenyekiti aanzishe chama change spite bila kupingwa kwani lazima kupitia cdm?
 
ZITTO CHAGUO LA UMMA...MBOWE CHAGUO LA MTEI...mmemchonoa wenyewe ngoja muone balaa lake nendeni mkamwabie LISSU Atuongei na kifaranga tunaongea na mama yao

Umma upi mkuu?
 
Back
Top Bottom