Ni aibu sana kwa wanasiasa hasa vijana kutuhumiwa usaliti, lakini niaibu pia kukosa suruhu ya kumaliza tatizo bila kufukuzana. Hii dhana ya usaliti imekuwepo hasa kwa sababu ya ccm kwa sababu ya undumila kuwili wakitaka kutawala milele. Lakini zzk kukubali kutumiwa ni waajabu zaidi kama ni kweli.
Zzk amekosa uwajibikaji wa pamoja kivipi kama siyo kweli anatumiwa. Kwa nini ktk kila jambo la kupinga serikali yy yuko kinyume. Huyu kweli siyo mwana cdm.
Lakini kwa nini kila anayekosea afukuzwe kwa kunyanganywa uanachama? Siasa za vyama vyetu niya kitoto sana. Msaliti muondoeni kwenye uongozi hata ubunge lkn abakie mwanachama. Sijui kwa nini hivi mimi mgeni sana kwenye siasa kwa hili siyo safi.