Jamii Forums MEMBER of the DAY!

Nilikuwa sijashtukia kuwa nimeshinda tuzo hii

Asante sana mkuu.
 
Kutokana na shida ya kiufundi(systems) tumeshindwa ku.upload mshindi wa 02/03. Tutajaribu tena asubuhi.
 
Mshindi wa tarehe 02/03/2014 alikuwa ni MKUU PDIDY.

(Click on image to view larger image)
 
Kuna wale WANAOKERA na KUUDHI wenzao humu JF, nao tungewatafutia zawadi....
 
ah mbebez christina lukosi umefurahi mwenyewe!!

halafu we dogo masihala yako haya utakuja kupigwa ujue.kwa taarifa yako chris lukosi ni alumn wa CCP moshi.akikupiga usiombe poo.
 
Yeah.., wazo zuri sana.., na mshindi wa kwanza lazima awe Dr. Kahtaan..!

Kahtaan awe mshindi wa kwanza mara ngapi!?

Watu wanafagilia! We bado unapiga madongo!

Wabongo kwa husda bana!?
Duhh!
Utakuja kufa siku si zako!

king Squarer!
 
Man: Dada naomba namba yako

Dada: Unafanya kazi gani

Man: Sina kazi

Dada: 0497659532

Man: Dada mbn namba haifanyi kazi

Dada: Unataka namba inayofanya kazi wakati ww huna kazi
 
Man: Dada naomba namba yako

Dada: Unafanya kazi gani

Man: Sina kazi

Dada: 0497659532

Man: Dada mbn namba haifanyi kazi

Dada: Unataka namba inayofanya kazi wakati ww huna kazi
Hahahahahah...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…