Fundi kwa maana ya kigagula?
SafiView attachment 142433
Nitakuwa niki update huu uzi daily kwa kumpongeza JF member of the day ambae jina lake litaapia kwenye hiyo render hapo juu. Vigezo nitakavyotumia kumpata Mshindi ni hoja na uchangiaji wake wa mada mbalimbali. Mshindi wa jana (01/03/2014) alikuwa Mkuu CHRIS LUKOSI.
Uzuri ama ubaya wa Dr. Kahtaan ni pale anaposawazisha mambo na kujenga hoja zake bila kupindisha wala kumumunya.
Kuna watakaopenda mawazo yake na kuna watakaochukia.
Pamoja sana Dr
Asnate mkuu!
Pamoja sana.
Mshindi wa tarehe 01/03/2014 ni Mkuu CHRIS LUKOSI.
View attachment 142436 (Click on image to get a larger view)
Mnaulizana ili mumpe hiyo hatrick sio..Inawezekana kabisa!
Dr kahtaan ebu nitajie mtandao unaotumie nikurushie japo 10,000 ujirushe kimasai.
CC; Tayeb. THE BIG SHOW