Jamii Forums inanzishe mfuko wa jamii

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,939
31,887
kuwasaidia members kupata kazi.

iwe kama 'agency'......

ifanye ku-link watu na kazi,

kuna wale wanaotaka ku volunteer, na hawana sehemu,

Najua kuna jukwaa la kazi,ila ningependa kuwaona mnachukua active role kuwasaidia watu wasio na kazi,mnaweza kusaidia CV writing ,run computer basics workshops,na interview techniques............

nimelileta kwenu nikiamini watumiaji wakubwa ,ni watu wenye umri wa kati,na maanisha umri wa kufanya kazi,wazee ni wachache na watoto,lol,

km sio wazo zuri lipotezeeni,lol
 
Mimi mfumo nlitaka waanzishe ni mfumo wa jf malipo kama PayPal vile iwe kama MTU WA kati kati ya muuzaji na mmnunuaji hii itaepusha utapeli na longolongo
 
Kufanya hayo mambo si inabidi watu wajianike na vitambulisho, sasa mtu akifikiria haya makesi wanayopata JF, mi nadhani ww msaidie mtu akiomba msaada humu humu bila hayo mambo.
 
Kufanya hayo mambo si inabidi watu wajianike na vitambulisho, sasa mtu akifikiria haya makesi wanayopata JF, mi nadhani ww msaidie mtu akiomba msaada humu humu bila hayo mambo.

Mkuu umeogopa?au una vitambulisho feki? :):) nadhani hata hapa wakitaka kujua mwenye hii id ya mwaminifuhalisi ni nani,wanaweza ingawa sijui lol,second inategemea mtu na priority yake kama sio mhalifu unaogopa nini kujulikana,na kama una shida na kazi ,utaangalia hii ID ya JF kweli? lol.......ni pendekezo tu linaweza kuwa modified
 
Hawawezi, JF Hata melo mwenyewe anafahamu kwa ID tu akienda kwenye database hata e-mail yangu haioni. Sasa ww huoni watu wanaokosoa serikali wanavyotafuta kwa udi na uvumba
 
Hawawezi, JF Hata melo mwenyewe anafahamu kwa ID tu akienda kwenye database hata e-mail yangu haioni. Sasa ww huoni watu wanaokosoa serikali wanavyotafuta kwa udi na uvumba

nimekuelewa mkuu, hili la anonymity litakuwa changamoto kwa kweli,ila as I said,inategemea priority zako,kazi ama kubaki anonymous? lol
 
ukitaka Jf ife we disclose anonymity tu,ujue kuna viongozi wa serikali humu wanaiponda sana serikali kwa kutumjha ID fake
 
Msijali JF ina Visions nyingi na KUBWA mno

Pia inasikiliza wateja wake

Ipo kwaajili yenu

Tuvute tu subira maoni yenu yatafanyiwa kazi with time.
 
Back
Top Bottom