Ahsante kwa kunisamehee mpenzi wanguu maana hadi nilipata jotoo nikaonaa niwashirikieshe mashostito nao waniombee msamaha maanaa hali ilikua mbayaaa ban ya nyumban mbayaa my darling bora upate ya Jamii au sio TATIANA na measkron,nashukuru kwa kua muelewaaaa kiasi hiki ndio maana najivunia kua na wewee
Ahsantee shogaa leo umeamkiaa hapaa mapemaa,kanisameheee nimefurah naanza kubalance muda wa kuwa Jamii maanaa tutakimbiwaaa
Hayaaa ntamuambiaa tutakua tunalipua na wale macho kunchuziiii wale viberengee
Shemeji nishamsamehe hapa usiku nilikuwa macho nimesusia na kitanda ligi ilihamia nyumbani na kwake ilikuwa mgumu kama kwa Manchester United kwa maneno yenu mazuri na yeye kutoa Uzi sikujua kama kafanya vile alishasamehewa. Cha kushangaza alikuwa anasingizia JF nikamwambia JF haina tatizo wenye matatizo ni watumiaji ajaribu kubalance na sintopenda apumzike ndo furaha yake naye aendelee nafurahia kuzisoma comment zake kuona maoni yake na mipasho yake
Eee fresh lo afadhaliii aiseee
Au tutaazima ule wa Evelyn Salt aliouokota na sasa anaufanyia show off mlimani city
Shemeji nishamsamehe hapa usiku nilikuwa macho nimesusia na kitanda ligi ilihamia nyumbani na kwake ilikuwa mgumu kama kwa Manchester United kwa maneno yenu mazuri na yeye kutoa Uzi sikujua kama kafanya vile alishasamehewa. Cha kushangaza alikuwa anasingizia JF nikamwambia JF haina tatizo wenye matatizo ni watumiaji ajaribu kubalance na sintopenda apumzike ndo furaha yake naye aendelee nafurahia kuzisoma comment zake kuona maoni yake na mipasho yake
Maisha sio ya tabu mimi nina pesa njoo uzitumie ila unipe naniiii ... tu.alafu najua ku care!
Uuhh afadhali jameni kaa umemsamehe
hiki kipindi cha mvua mvua hiki hata hakifai kununiana
afu unipe basi kanamba shemeji tuwe tunachat chat
hata ukinisave fundi makochi si mbaya
Dinazarde asijue....
Jamanii tupe ufunguoo sieee