Jamii chef au wana chama wa jamii forums naomba nitasfrieni haya maelezo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamii chef au wana chama wa jamii forums naomba nitasfrieni haya maelezo

Discussion in 'JF Chef' started by Mbwambo, Oct 18, 2012.

 1. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Nimepata maelezo haya kutoka kwenye mtandao nahitaji nisaidiwe kutafsiri kwa kiswahili ili nikapike cake hii vizuri wapendwa.
  Si unajuwa tusio na vitu kama mizani za kupimia hizi gramu zilizotajwa itakuwa vigumu kuelewa vipimo.
  Pia maelezo ya namna ya kupika English bwana imekwenda kombo kidogo
  asanteni kwa kunisaidia

  Servinginstructions

  Serves 10
  Takes 20minutes to make, 20-25 minutes to cook, plus cooling
  Rating
  An easy foolproof chocolate cake recipe. Youcould also fill it with whipped cream and jam instead of chocolate icing.
  Ingredients
  225g butter,softened, plus extra for greasing
  225g castersugar
  4 largefree-range eggs
  100gself-raising flour
  1 tsp bakingpowder
  2 tbsp cocoapowder
  A littlemilk
  For the icing
  250g darkchocolate
  250g butter,softened
  175g icingsugar
  Method
  1. Preheatthe oven to 180°C/fan160°C/gas 4. Grease 2 x 20cm sandwich tins with a littlebutter and base line with baking paper. In a bowl, beat together the butter andsugar with an electric hand whisk until light and fluffy.
  2. Add theeggs, 1 at a time, beating after each addition. Sift in the flour, bakingpowder and cocoa, then lightly fold into the mixture.
  Add a littlemilk until you have a dropping consistency, then divide between the tins.
  3. Bake for20-25 minutes or until a skewer inserted into the centre comes out clean. Leaveto cool in the tin for 10 minutes, then turn out onto a wire rack to coolcompletely.
  4. Melt thechocolate in a bowl over a pan of simmering water, then cool slightly. In abowl, beat the butter and icing sugar together with an electric hand whiskuntil light and fluffy, then fold in the melted chocolate.
  5. Spreadsome icing over 1 of the cakes, top with the other cake and the rest of theicing.

   
 2. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  sijui unataka nini??????????kama ni tafsiri !subiri wakalimani wanakuja
   
 3. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Naona umeshajijibu mwenyewe swali lako
  Natafuta tafsiri kutoka ENGISH kwenda kiswahili NDILO OMBI LANGU HAPO
   
 4. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Akija mtu kukutafsiria nakupa zawadi
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  nikipata computa nitakutafsiria, ila mbona vyote vipo open?
   
 6. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  [MENTION]Mbwambo[MENTION] hizo site za kizungu achana nazo, tafuta za kiswahili. Maana hata mizani huna utapimaje, keki lazima vipimo, wako wanaotumia vikombe pia.
   
 7. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Dhu! Kumbe kuna jukwaa la msosi cku hz? Kweli sirikali ya Maxence ni sikivu..! Hongereni mnaopenda kupika na kula kula! LA SALAMU JE?
   
 8. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Mademx asante ushauri wako
  ila kusema ukweli sina mizani mpendwa wangu. NOMBA NISAIDIE NITAIPATA WAPI MIZANI?
  ASANTE
   
 9. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #9
  Nov 10, 2012
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  Servinginstructions
  mtumishi 10
  Inachukua 20minutes kufanya, dakika 20-25 ya kupika, pamoja na baridi
  Rating
  Rahisi foolproof chocolate keki mapishi. Youcould pia kujaza kwa kuchapwa cream na jam badala ya icing chocolate.
  viungo
  225g siagi, kulainishwa, plus ziada kwa ajili ya greasing
  225g castersugar
  4 largefree-mbalimbali mayai
  100gself-kuinua unga
  1 tsp bakingpowder
  2 tbsp cocoapowder
  littlemilk
  kwa icing
  250g darkchocolate
  Siagi 250g, kulainishwa
  175g icingsugar
  Method
  1. Preheatthe tanuri ya 180 ° C/fan160 ° C / gesi 4. Grease 2 x 20cm sandwich makopo na line littlebutter na msingi na karatasi kuoka. Katika bakuli, kuwapiga pamoja andsugar siagi kwa mkono umeme whisk mpaka mwanga na fluffy.
  2. Kuongeza theeggs, 1 kwa wakati, baada ya kumpiga Aidha kila. Chekecha unga katika, bakingpowder na kakao, basi lightly mara katika mchanganyiko.
  Kuongeza littlemilk mpaka una konsekvensen kuacha, basi itenge kati ya bakuli.
  3. Bake for20-25 dakika au mpaka skewer kuingizwa katika kituo cha hutoka nje safi. Leaveto baridi katika bati kwa dakika 10, kisha kugeuka kutoka kwenye nguzo waya coolcompletely.
  4. Melt thechocolate katika bakuli juu ya sufuria ya maji simmering, kisha baridi kidogo. Katika abowl, kuwapiga siagi na sukari ya icing pamoja na umeme mwanga mkono whiskuntil na fluffy, basi mara katika chocolate melted.
  5. Spreadsome icing juu ya 1 ya keki, juu na keki nyingine na wengine wa theicing
   
 10. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #10
  Nov 10, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Mpe zawadi basi kuna mtu kamtafsiria
   
Loading...