Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nani huyu?

Binafsi sioni kama kuna tatzo maana tumezoea kuona kila utawala ukija na SLOGUN yake kama;

A) Ujamaa na Kujitegemea...

B) Ruksa...

C) Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe...

D) Maisha bora kwa kila mtanzania....

E) Hapa kazi tu...

........ na hapo katikati tumekosa kosa MAISHA NA BATA...!!

F) Na sasa tunasalimiana ktk jina la jamuhuri ya muungano
Jamhuri ni kila mtu wewe,mimi na yeye mwenyewe.Tena tunajibu kazi iendelee
 
Back
Top Bottom