isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,146
- 6,564
- Thread starter
-
- #61
💯 Hata kutafuta masoko kama zinafungamana na mataifa mengine, zinafanya biashara.Nchi nyingi zilizowekewa kikwazo na Marekani zikashindwa ku survive ni zile zinazotegemea chakula kutoka nje, mahitaji ya muhimu ya kibinadamu kama madawa, nguo. Lakini nchi zenye mambo hayo na zikawa na teknolojia kubwa, wasomi na kulinda utaifa wao ni lazima wasurvive tu na vikwazo vya marekani.
Vita ilianza tu baada ya uhuru ,Wareno waliwapa MPLA uhuru kichinichini kwa maslahi yao binafsi bila kuwajulisha UNITA,.MPLA hawakutaka Demokrasia kwa sababu walijua wakiingia kwenye uchaguzi hawawezi kuwashinda UNITA,wakapewa tafu na Soviet,Cuba, China na wapambe wengine wa kisocialist wakawapa support ,wakaamua kutangaza Nchi ni ya chama kimoja,UNITA wakapewa kichapo cha mbwa koko wakaishia maporini huko,Baadaye makaburu,USA na wapambe wa kicapitalist wakampa tafu ya vifaa na intelligence,manpower kwa UNITA haikuwa tatizo mdogomdogo wakaibuka wakaushikilia mji wa pili kwa ukubwa Uhambo,Castro na wapambe zake akaona isiwe tabu akatuma mtu za kutosha,kwanza alitanguliza wanajeshi weusi kukwepa kujulikana,CIA agent mmoja akiwa hotelini jijini Luanda alishtushwa baada ya kuona kuna weusi walioshiba mia kadhaa wakipepesapepesa macho lakini wanaongea kihispania na si kireno na story za baseball wakati Angola baseball siyo popular,baadaye akaja kugundua ni wacuba kukawa hamna siri tena na Castro akautangazia ulimwengu kuwa atazipiga na mabepari kokote pale duniani.Tanzania na sisi tulitoa support kwa MPLA japokuwa kichinichini sana.Ni kweli kama sio Cuba, basi MPLA ingeshindwa kirahisi Sana na UNITA iliyokuwa ikisaidiwa na serikali ya makaburu, Zaire ya Mobutu na Marekani.
Ila huo mzozo ulisukumwa zaidi na Vita baridi ya wakubwa wa dunia wakati huo.
Safi Sana kwa kuweka hili sawa, Cuba imehusika katika mataifa 30 ya Afrika katika shughuli za ukombozi mbalimbali. Lakini hii ya Angola na Algeria ndio zilikuwa hatari.Vita ilianza tu baada ya uhuru ,Wareno waliwapa MPLA uhuru kichinichini kwa maslahi yao binafsi bila kuwajulisha UNITA,.MPLA hawakutaka Demokrasia kwa sababu walijua wakiingia kwenye uchaguzi hawawezi kuwashinda UNITA,wakapewa tafu na Soviet,Cuba, China na wapambe wengine wa kisocialist wakawapa support ,wakaamua kutangaza Nchi ni ya chama kimoja,UNITA wakapewa kichapo cha mbwa koko wakaishia maporini huko,Baadaye makaburu,USA na wapambe wa kicapitalist wakampa tafu ya vifaa na intelligence,manpower kwa UNITA haikuwa tatizo mdogomdogo wakaibuka wakaushikilia mji wa pili kwa ukubwa Uhambo,Castro na wapambe zake akaona isiwe tabu akatuma mtu za kutosha,kwanza alitanguliza wanajeshi weusi kukwepa kujulikana,CIA agent mmoja akiwa hotelini jijini Luanda alishtushwa baada ya kuona kuna weusi walioshiba mia kadhaa wakipepesapepesa macho lakini wanaongea kihispania na si kireno baadaye akaja kugundua ni wacuba kukawa hamna siri tena na Castro akautangazia ulimwengu kuwa atazipiga na mabepari kokote pale duniani.Tanzania na sisi tulitoa support kwa MPLA japokuwa kichinichini sana.
Na ndio maana pamoja na vikwazo lakini Russia ndio mnunuzi na msambazi mkubwa wa bidhaa cuba💯 Hata kutafuta masoko kama zinafungamana na mataifa mengine, zinafanya biashara.
Hakika, na ukifuatilia kwa ukaribu bidhaa za mataifa yenye vikwazo zinasambazwa kwa mgongo wa mataifa ya Urusi, Uchina na Uturuki kidogo Brasil pia.Na ndio maana pamoja na vikwazo lakini Russia ndio mnunuzi na msambazi mkubwa wa bidhaa cuba
Ilikuwa hatari kweli kweli kuna Vita vikali vilitokea pale Angola (Cuito) kati ya majeshi ya Cuba, Angola (FPLA) na Wapigania uhuru wa Namibia (PLAN) yakiwa upande mmoja dhidi ya majeshi ya Africa Kusini (SANDF) na UNITA upande mwingine.Safi Sana kwa kuweka hili sawa, Cuba imehusika katika mataifa 30 ya Afrika katika shughuli za ukombozi mbalimbali. Lakini hii ya Angola na Algeria ndio zilikuwa hatari.
Mkuu mchango wa Tz kwenye suala la Angola lina utata sana na linahitaji mjadala kidogo kuhusu ni nini hasa ulikuwa msimamo wa Mwl Nyerere kuhusu nani hasa akabidhiwe Uhuru....Tanzania na sisi tulitoa support kwa MPLA japokuwa kichinichini sana.
Asante sana kwa ufafanuzi mkuu.Mkuu mchango wa Tz kwenye suala la Angola lina utata sana na linahitaji mjadala kidogo kuhusu ni nini hasa ulikuwa msimamo wa Mwl Nyerere kuhusu nani hasa akabidhiwe Uhuru.
Niliwahi kusoma makala moja ya Jenerali Ulimwengu kwenye gazeti la ' Raia mwema' ambaye alikuwepo Angola wakati huo (1975) wakati Wareno wakiwa wapo njia panda hawajui nani wampe nchi kati ya UNITA,MPLA na FNLA.
Anasema hata baada ya MPLA kupewa Uhuru baada ya kuwashinda UNITA na FNLA kijeshi bado Umoja wa Africa (OAU) wakati huo na hata Mwl Nyerere hawakuwa wameutambua Uhuru huo hapo awali maana kulikuwa na mgawanyiko OAU maana Africa Kusini ilikuwa bado haijafukuzwa uanachama hivyo ilishinikiza OAU kutoutambua Uhuru huo.
Kwenye ile makala ameandika japo Zambia walikuwa wa mwanzo kuutambua Uhuru wa Angola ila ilichukua muda kidogo kwa Mwl Nyerere kuitambua Angola kama nchi huru mikononi mwa MPLA.
Hahaha 😁 Kweli aiseeHuu utaratibu wa maboresho ya nyumba ungekuwepo tz dar es salaam ingevutia sana maana hapa bongo kuna watu wanajenga vituko
Hata raia wanaipenda serikali yaoHii nchi wananchi wanaishi Kwa raha sana
Ila siku wakiisaliti serikali wanaweza kupotea kwenye ramani, maana serikali ya uko INA power sana
Uhuru wa kuabudu na masuala ya kiimani ni 💯Mkuu vp kuhusu dini zinaruhusiwa katika nch ya Quba
Ukiskia Tanzania imejihusisha na taifa fulani usiangaike! Tafuta chama cha kijamaa au mfumo wa kijamaa utapata jawabu.Mkuu mchango wa Tz kwenye suala la Angola lina utata sana na linahitaji mjadala kidogo kuhusu ni nini hasa ulikuwa msimamo wa Mwl Nyerere kuhusu nani hasa akabidhiwe Uhuru.
Niliwahi kusoma makala moja ya Jenerali Ulimwengu kwenye gazeti la ' Raia mwema' ambaye alikuwepo Angola wakati huo (1975) wakati Wareno wakiwa wapo njia panda hawajui nani wampe nchi kati ya UNITA,MPLA na FNLA.
Anasema hata baada ya MPLA kupewa Uhuru baada ya kuwashinda UNITA na FNLA kijeshi bado Umoja wa Africa (OAU) wakati huo na hata Mwl Nyerere hawakuwa wameutambua Uhuru huo hapo awali maana kulikuwa na mgawanyiko OAU maana Africa Kusini ilikuwa bado haijafukuzwa uanachama hivyo ilishinikiza OAU kutoutambua Uhuru huo.
Kwenye ile makala ameandika japo Zambia walikuwa wa mwanzo kuutambua Uhuru wa Angola ila ilichukua muda kidogo kwa Mwl Nyerere kuitambua Angola kama nchi huru na MPLA kama chama tawala.
Fuatilia Rodrigo Duterte ana baadhi ya vikwazo.
Ni kweli mkuu upo ushirikiano mkubwa baina yao lakini kuna suala la madawa linawavuruga.Kutoka nchi gani?.Ufilipino ni mshirika mkuu wa Marekani, hapa hapana , Philippine wana uhusiano wa karibu sana na USA tena anamsaidia USA kuichokoza China kuhusi South China Sea
Hawa wacuba sijui wana mioyo gani aisee! Nakumbuka aliwahi kuwapa Brasil madaktari 500Hahaha 😁
Ujue Cuba kila mwaka hutoa wataalamu mbalimbali kwa nchi zinazoendelea na Afrika huku ikiwalipa wenyewe.
Ndio faida ya kuwa na wasomi wa kweli, taifa zima ni wasomi kazi inayobaki nikutapakaa kufanya kazi.Hawa wacuba sijui wana mioyo gani aisee! Nakumbuka aliwahi kuwapa Brasil madaktari 500
Nalog off