Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 24,940
- 26,796
Na Eymael akapigilia msumari ๐๐๐Ooh. Umelijua hilo leo kwamba sare pia ni matokeo eee?
Kweli Rage hakukosea. ๐๐๐
Na Eymael akapigilia msumari ๐๐๐Ooh. Umelijua hilo leo kwamba sare pia ni matokeo eee?
Kweli Rage hakukosea. ๐๐๐
Usichonge Sana kumbuka Amri Said anakusubir dimban.
Sare pia ni matokeo
Yanga ndo zenu kufurahia sare, ziwe zenu au za wengine ๐๐๐Over,,,,, Over,,,,,,, mikia, mikia, mikia, Over,,, mbona sikupati vizuri, unasema mumeshinda ngapii?
๐คฃ๐คฃ๐คฃ Mtani kumbe huu uzi unaufuatilia kwa ukaribu eee. ๐คฃ๐คฃ๐คฃNa Eymael akapigilia msumari ๐๐๐
Oktoba 18 wakimpanga Morrison lazima awachome mikia...atageuka na kuwafunga...wakidhani ni bahati mbaya atageuka na kuwafunga tena Cha pili...usiichezee Yanga....Morrison hawezi kucheza hapo mikia...awaulize Gadiel, Kakolanya na Ajibu...katika historia hakuna mchezaji aliyewahi kutoka Yanga kwa mikwara na akaenda Simba akapata mafanikio...hakuna mchezaji wa aina hiyo...Morrison ndiyo basi tena...Mizee imetoa sare
Wangemuingiza Barbara akawafungie la pili. ๐๐๐Baada ya kumchukua Morisson mje mumchukue na Kaseke
Luc hakukosea kuwaita Nyani ujue siyo kwa kiherehere hichoOoh. Umelijua hilo leo kwamba sare pia ni matokeo eee?
Kweli Rage hakukosea. ๐๐๐
Kumbe sare inauma namna hiyo. Pole sana.Luc hakukosea kuwaita Nyani ujue siyo kwa kiherehere hicho
๐๐๐ humu nimepiga kambi leo na kesho ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Mtani kumbe huu uzi unaufuatilia kwa ukaribu eee. ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Chongeni na leo sisi tupo kuwasikiliza. ๐คฃ
Kwani nyie mshashinda tayari mtani!??Kumbe sare inauma eeeee. Pole sana.
Naona kuna mwenzio ameshapanic utadhani mi nilikuwa refa. ๐๐๐๐๐๐๐ humu nimepiga kambi leo na kesho ๐คฃ
Yanga mnapenda sana sareKumbe sare inauma namna hiyo. Pole sana.
#Hakuna aijuaye kesho.
Tunazungumzia yaliyofanyia leo Mtani.Kwani nyie mshashinda tayari mtani!??
Hawakosi sabaabu hao mbumbumbu fc....Sana yaani.
Walijua Yanga tu ndo saizi yake kupata sare cha ajabu wameanza kusingizia eti sare ya ugenini haifanani na ya nyumbani mbona wakipata ushindi hawaongei.
Yanga au Simba?Yanga mnapenda sana sare