Waheshimiwa nimefanya editing ya mambo machache na kuiandaa barua yetu hii na kuiweka katika PDF pamoja na some contacts information. Kuna makala inatarajiwa kutoka kesho nyumbani kuendana na uwepo wa barua hii. Naomba yeyote ambaye anataka kushiriki katika hii citizen activism kuichukua barua hii na kuisambaza kwa yeyote yule na hasa wabunge wetu.
Ukienda kwenye tovuti ya Bunge -
http://www.parliament.go.tz na kwenda kwenye "Questions and Answers" utapa info za wabunge wote na email zao.. hivyo chagua angalau wabunge 10 randomly (vinginevyo wote mtawaandikia wabunge kumi wa mwanzo) na kuwatumia nakala ya barua hiyo.
Together we can change our nation, alone we will be changed by inaction - M.M. Original