Uchaguzi 2020 James Mbowe achukua fomu kugombea ubunge Moshi mjini kupitia CHADEMA

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,034
James Mbowe, mtoto wa kaka wa mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe amechukua fomu kugombea ubunge jimbo la Moshi Mjini kwa tiketi ya CHADEMA.

Freeman yeye alishatangaza kutetea kiti chake jimboni Hai mkoa huo huo wa Kilimanjaro.

Source: Ayo tv

Maendeleo hayana vyama!
 
Anayo haki kama raia yeyote wa nchi hii, shida ni pale Kura za maoni zitakapombeba bila kujali ushawishi wake kwenye Chama na huko Kwa wananchi
 
Back
Top Bottom